ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,302
- 89,699
My Take
πππππ akina Chalamila wako wengi π€£π€£π€£π€£
View: https://www.youtube.com/watch?v=85aYl10-mJY
Mkuu wa mkoa wa Tanga Waziri Kindamba amewaonya watu wenye nia ovu ya kuleta uvunjifu wa amani kwa kusema kuwa wakaanze na familia zao kwanza.
Hayo ameyasema wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022 Kwa watendaji wa Halimashauri,wakuu wa taasisi, viongozi wa dini, Chama pamoja na watu wa makundi maalum Mkoa.