GE2025 RC Jabiri Makame aingia mtaani kuhamasisha wananchi kujitokeza kupiga kura Oktoba 29, 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
354
Reaction score
395
Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Jabiri Makame, amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura Oktoba 29, akisisitiza kuwa maamuzi yao ndiyo yatakayoweka msingi wa ndoto na hatma ya watoto wao walioko shuleni.

Makame alitoa wito huo mjini Tunduma wakati wa ziara maalum ya “Operation October 29”, yenye lengo la kuhamasisha wananchi kushiriki kikamilifu katika zoezi la upigaji kura.

Amesema ataendelea na ziara hiyo katika halmashauri zote tano za Mkoa wa Songwe kuhakikisha kila mwananchi anatimiza wajibu wake wa kikatiba.

Kwa upande wake, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Songwe, SACP Augustino Senga, amewahakikishia wananchi ulinzi na usalama wa kutosha siku ya uchaguzi, huku akitoa onyo kwa yeyote atakayejihusisha na vitendo vya uvunjifu wa amani.

Hii haijawahi kuwepo toka uhuru. Je kama watoto wako wakisusia jambo fulani kwenye familia si unawaita unawauliza tatizo ni nini?
 
Anahangaika nini wakati huu ni uchaguzi wa ccm tu? Mwananchi gani anayehamasika na uchaguzi wa aina hii kama si wanachama wa ccm wenye maslahi binafsi na chama chao? Ingekuwa ni uchaguzi wa vyama vingi angeeleweka. Akumbuke kuwa chadema nayo ina wapiga kura wake na wanaoiunga mkono ila haishiriki uchaguzi huu, automatically wanachama wake na wanaoiunga mkono hawataenda kupiga kura kwa sababu za msingi. Kwa hiyo huyu mkuu wa mkoa ataishia kuhamasisha wana ccm tu
 
Wamepima upepo wakaona watu wamepuuza huo ujinga uliotwa uchaguzi wameamua kuingia mitaani sasa.

Swali lingine hivi inawezekanaje mzanzibar akawa RC ilhali mtanganyika hawezi hata kuruhusiwa kuongoza kata[shehia] kule Zanzibar?
 
Muungano wa kijinga sana huu. Akina Makame, na wenzao lukuki wanajiachia tu huku Tanganyika. Ukienda kwao, hupewi hata cheo cha chini kabisa cha Sheha!

Nyerere kwa hili, umetukosea sana Watanganyika kwa kutuingiza kwenye huu muungano wako wa changu changu, chako changu.
Rc Makame (Mmwera) ni mzaliwa wa Kijiji cha Ruchelegwa kata ya Ruchelegwa Wilaya ya Ruangwa, Lindi.
 
Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Jabiri Makame, amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura Oktoba 29, akisisitiza kuwa maamuzi yao ndiyo yatakayoweka msingi wa ndoto na hatma ya watoto wao walioko shuleni.

Makame alitoa wito huo mjini Tunduma wakati wa ziara maalum ya “Operation October 29”, yenye lengo la kuhamasisha wananchi kushiriki kikamilifu katika zoezi la upigaji kura.

Amesema ataendelea na ziara hiyo katika halmashauri zote tano za Mkoa wa Songwe kuhakikisha kila mwananchi anatimiza wajibu wake wa kikatiba.

Kwa upande wake, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Songwe, SACP Augustino Senga, amewahakikishia wananchi ulinzi na usalama wa kutosha siku ya uchaguzi, huku akitoa onyo kwa yeyote atakayejihusisha na vitendo vya uvunjifu wa amani.

Amesha hamasisha familia yake ama anatuona hamnazo?
 
Kwani miaka yote 64 ya Uhuru walikuwa wanafanyaje...?
 
Si wawasombe kama wanavyowasimba kwenye mikutano yao...uchaguzi wa kichekesho huu dah
 
Back
Top Bottom