Yaani unauliza maswali kama uko darasa la pili! Sasa kama humtetei waziri, hii mada yako inahusu nini!!Nimemteteaje waziri?
Nimemtetea kwa lipi? Kuhusu nini?
Licha ta hivyo,hajui taaluma ta ualimu,hoja ni kuwapa fursa wanafunzi kupumzisha akili,sio kusoma muda wote,ama kuhusu watoto wa mawaziri kusoma ulaya,hii inakujaje na kamraja waziri wa wlimu kiana,sasa kwa taarifa yake mtaka,huyo waziri wa elimu ana mtoto mmoja tu wa kike na anasoma tanzaniaHuyu anayeitwa Anthony Mtaka ni muda sasa nimeanza kumsikia lakini sikumtilia maanani kivile. Hata wakati wa Magufuli nilikuwa namsikia sikia tu kwamba ati ni Mkuu wa Mkoa bora. Akapewa sijui na tuzo!
Binafsi sikuwahi kumfuatilia kwa sababu sikuwahi kuvutika nae. Nilikuwa namsikia sikia tu kwa juu juu sana. Hivi majuzi alivyoteuliwa kuwa RC Dodoma nilimuona anazungumza akitoa hotuba fupi.
Kwanza ni wa kawaida sana na anaonekana ana majigambo ya ujuaji. Hata lugha yake ya mwili inaonesha anajidhania kwamba yeye ni mtaaluma na mjuvi kuliko wengine.
Jana tu hapa kamfokea Waziri wa elimu na kuyapuuza maagizo yake kwa kejeli na dhihaka. Hii kiprotokali sijui imekaaje?
Udhalilishaji wake dhidi ya Waziri umethibitisha yale yote niliyokuwa nayafikiri juu yake — Kwamba ni mjuaji juaji tu.
Na si ajabu anawalipa watu mitandaoni ili wamsifie sifie. Binafsi sioni kama ana ubora wowote au maajabu yoyote.
Kwani amefanya kitu gani hicho mpaka astahili misifa yote hiyo ninayoisikia mitandaoni kutoka kwa wafuasi wake pendwa?
Huyu anayeitwa Anthony Mtaka ni muda sasa nimeanza kumsikia lakini sikumtilia maanani kivile. Hata wakati wa Magufuli nilikuwa namsikia sikia tu kwamba ati ni Mkuu wa Mkoa bora. Akapewa sijui na tuzo!
Binafsi sikuwahi kumfuatilia kwa sababu sikuwahi kuvutika nae. Nilikuwa namsikia sikia tu kwa juu juu sana. Hivi majuzi alivyoteuliwa kuwa RC Dodoma nilimuona anazungumza akitoa hotuba fupi.
Kwanza ni wa kawaida sana na anaonekana ana majigambo ya ujuaji. Hata lugha yake ya mwili inaonesha anajidhania kwamba yeye ni mtaaluma na mjuvi kuliko wengine.
Jana tu hapa kamfokea Waziri wa elimu na kuyapuuza maagizo yake kwa kejeli na dhihaka. Hii kiprotokali sijui imekaaje?
Udhalilishaji wake dhidi ya Waziri umethibitisha yale yote niliyokuwa nayafikiri juu yake — Kwamba ni mjuaji juaji tu.
Na si ajabu anawalipa watu mitandaoni ili wamsifie sifie. Binafsi sioni kama ana ubora wowote au maajabu yoyote.
Kwani amefanya kitu gani hicho mpaka astahili misifa yote hiyo ninayoisikia mitandaoni kutoka kwa wafuasi wake pendwa?
Alikua na point sana,pengine kwenye kuiwasilisha aliteleza!ila tu honestly ameonyesha anajua anachokifanya,na pengine kwenye wizara ya elimu anaweza kuwa helpful kuliko huyo maza aliepo sasa hivi!
Maana maza ana vyeti vilivyojaa theories ila practically analiangusha taifa!
Mtaka apewe wizara kwakweli!
Katika swala Hilo Hilo la elimu aliwezesha mkoa wa simiyu kutoka mkiani na kiingia top 3 nchini.Huko Simiyu alifanya kitu gani haswa?
Wewe ni ndugu yake na yule bibi anayeua elimu yetu. Shame on youHuyu anayeitwa Anthony Mtaka ni muda sasa nimeanza kumsikia lakini sikumtilia maanani kivile. Hata wakati wa Magufuli nilikuwa namsikia sikia tu kwamba ati ni Mkuu wa Mkoa bora. Akapewa sijui na tuzo!
Binafsi sikuwahi kumfuatilia kwa sababu sikuwahi kuvutika nae. Nilikuwa namsikia sikia tu kwa juu juu sana. Hivi majuzi alivyoteuliwa kuwa RC Dodoma nilimuona anazungumza akitoa hotuba fupi.
Kwanza ni wa kawaida sana na anaonekana ana majigambo ya ujuaji. Hata lugha yake ya mwili inaonesha anajidhania kwamba yeye ni mtaaluma na mjuvi kuliko wengine.
Jana tu hapa kamfokea Waziri wa elimu na kuyapuuza maagizo yake kwa kejeli na dhihaka. Hii kiprotokali sijui imekaaje?
Udhalilishaji wake dhidi ya Waziri umethibitisha yale yote niliyokuwa nayafikiri juu yake — Kwamba ni mjuaji juaji tu.
Na si ajabu anawalipa watu mitandaoni ili wamsifie sifie. Binafsi sioni kama ana ubora wowote au maajabu yoyote.
Kwani amefanya kitu gani hicho mpaka astahili misifa yote hiyo ninayoisikia mitandaoni kutoka kwa wafuasi wake pendwa?
Nyumbu on the beat.Wewe ni ndugu yake na yule bibi anayeua elimu yetu. Shame on you
Aliwezeshaje?aliwezesha mkoa wa simiyu kutoka mkiani na kiingia top 3 nchini.
kahamishiwa Dodoma kuleta mabadiliko
Kwahiyo huyo Mtaka anataka wanafunzi wakeshe mashuleni ama?Licha ta hivyo,hajui taaluma ta ualimu,hoja ni kuwapa fursa wanafunzi kupumzisha akili,sio kusoma muda wote
Kwa Tanzania siwezi kushangaa akipewa hiyo Wizara.Mtaka apewe wizara kwakweli!
Sifa njema unatembea nayo we ndugu vipi!!?...Tembelea Simiyu, hiyo tuzo ya Mkuu wa mkoa bora aliipata huko Simiyu.
Kumsimanga ndo nini?Kumsimanga huyo RC Mtaka kwa mipasho na vijembe?
Keshaingia huyo.....Ni mpigaji mkubwa sana, ila sifa special aliyonayo ni kulipa influencers wa mitandaoni kumsifia.
Ipo siku ataingia kwenye 18 za mama Samia, muda utasema
Or so according to you,Tz kuna poor thinking just because mtaka ameonekana ana point na maza ndalichako hana?Atapewa Wizara ya kujidemsha upumbavu alioufanya utasifiwa Tanzania tu palipojaa poor thinking.