Lorenzo Samike
JF-Expert Member
- Jun 18, 2021
- 1,184
- 1,914
Huyu anayeitwa Anthony Mtaka ni muda sasa nimeanza kumsikia lakini sikumtilia maanani kivile.
Hata wakati wa Magufuli nilikuwa namsikia sikia tu kwamba ati ni Mkuu wa Mkoa bora. Akapewa sijui na tuzo!...
Pili, juhudi za Mtaka na ufanisi wake zipo Simiyu siyo Dar, Arusha wala kwingineko.
Amemchana chana yule waziri
Ni kwa nini na sisi tusiamini na wewe umelipwa pia kuja kumtetea huyo Waziri
Tembelea Simiyu, hiyo tuzo ya Mkuu wa mkoa bora aliipata huko Simiyu.Huko Simiyu alifanya kitu gani haswa?
Sina salio.Acha kuzingua JF. Mpigie - 0755300301
Nitembelee Simiyu maeneo gani? Wapi? Kwenye nini?Tembelea Simiyu, hiyo tuzo ya Mkuu wa mkoa bora aliipata huko Simiyu.
Tembelea mabanda ya nguruweNitembelee Simiyu maeneo gani? Wapi? Kwenye nini?
Mmeanza chokochoko wanaaHuyu anayeitwa Anthony Mtaka ni muda sasa nimeanza kumsikia lakini sikumtilia maanani kivile.
Hata wakati wa Magufuli nilikuwa namsikia sikia tu kwamba ati ni Mkuu wa Mkoa bora. Akapewa sijui na tuzo!...
Yeye pia si ni mteule wa rais?!Kumbe ubora wake ni kwenye tasnia ya matusi dhidi ya wateule wa Rais!?
Yako wapi?Tembelea mabanda ya nguruwe
Hajaomba radhi bali ameruka ruka tuHuwezi kumuelewa Mtaka kama umewehuka. Sifa yake ya kwanza ni muungwana na katika kuthibitisha hilo ameandika andiko lenye kuomba radhi kwa yote hayo yaliyotokea akiwa na Waziri...
MkataYako wapi?
Tuzo ya mkuu wa mkoa huwa inatolewa kila mwaka?Tembelea Simiyu, hiyo tuzo ya Mkuu wa mkoa bora aliipata huko Simiyu.
Basi hapo nilipoandika ameomba radhi pasomeke "ameruka ruka"