RC Ally Hapi, chunga maneno mengine yanamgusa mteuzi wako

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,797
71,217
Wakati mwingine in vyema kuwa na staha huku ukichunga maneno maana waweza kuwa unasema ukimlenga mtu X lakini yakamchoma Y.

Habari alizoandika Ally Hapi akimlenga Mbunge wa Bukoba mjini Mheshimiwa Rwakatale kuhusu kuwasikiliza wapambe kuwa "huna mpinzani" wengi wamezi tafsiri kuwa ni kama vile kamlenga bosi wake na mteuzi wake Mwenyekiti wa chama chake ambaye wapambe wanajipitisha sana wakimuambia huna mpinzani.

Ushauri waweza kuwa mzuri, lakini kwa huyo bosi wake tunavyo mfahamu Hapi anaweza kula za uso akashangaa.

Hata hivyo hongera Hapi kwa kumpa ukweli bosi wako kwa kupitia mtu mwingine, umeicheza sanaa vizuri.
IMG_20200414_234858.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chakaza,
Mpwa, inaumiza kichwa tu! Kuna jirani yangu anaweza kuongea issue moja kwa mazingira tofauti ndani ya masaa 24. Leo anasema hamna kujidungia ndani kafanyeni kazi, kesho anasema atayeonekana anazurura atakamatwa! Hivi nikienda kariakoo naweza kufanya shopping bila kuzurura? How do you know kuwa huyu anazura na huyu anatafuta?
 
Wakati mwingine in vyema kuwa na staha huku ukichunga maneno maana waweza kuwa unasema ukimlenga mtu X lakini yakamchoma Y.
Habari alizoandika Ally Hapi akimlenga Mbunge wa Bukoba mjini Mheshimiwa Rwakatale kuhusu kuwasikiliza wapambe kuwa "huna mpinzani" wengi wamezi tafsiri kuwa ni kama vile kamlenga bosi wake na mteuzi wake mwenyekiti wa chama chake ambaye wapambe wanajipitisha sana wakimuambia huna mpinzani.
Ushauri waweza kuwa mzuri, lakini kwa huyo bosi wake tunavyo mfahamu Hapi anaweza kula za uso akashangaa.
Hata hivyo hongera Hapi kwa kumpa ukweli bosi wako kwa kupitia mtu mwingine, umeicheza sanaa vizuriView attachment 1419364

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Mbowe ajiepushe na wapambe pori wanaodai kila siku eti bila yeye Chadema itakufa. Ipo siku vijana wenye akili ndani ya Chadema (ingawa ni wachache) watamuondoa mperampera kama wanavyotaka kufanya wana Hai mwaka huu! Ujumbe wa Mh. Lwakatare umpe tahadhari na yeye asije kuondoka kwa aibu kwenye Ubunge na uwenyekiti!
 
Ila uchaguzi wa ndani ya chama juzi disemba kampiga chini mgombea aliyedhaminiwa na CCM bwana Mwambe.
Hivyo in tofauti na kule ambako Jasusi katamka tuu anataka kugombea wamemfyeka na kusababisha mwenyekiti wa maadili kuhatarisha maisha yake hadi Leo ni mashaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila uchaguzi wa ndani ya chama juzi disemba kampiga chini mgombea aliyedhaminiwa na CCM bwana Mwambe.
Hivyo in tofauti na kule ambako Jasusi katamka tuu anataka kugombea wamemfyeka na kusababisha mwenyekiti wa maadili kuhatarisha maisha yake hadi Leo ni mashaka

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hivi Chadema ina vijana wengine "ndio Mzee wa Mbowe". Wenye akili tuliondoka na Dk. Slaa. Subirini baada ya uchaguzi wa 2020. Vijana watamuondoa kama ile " Chakubanga Ampiga Mkoloni".
 
Wakati mwingine in vyema kuwa na staha huku ukichunga maneno maana waweza kuwa unasema ukimlenga mtu X lakini yakamchoma Y.

Habari alizoandika Ally Hapi akimlenga Mbunge wa Bukoba mjini Mheshimiwa Rwakatale kuhusu kuwasikiliza wapambe kuwa "huna mpinzani" wengi wamezi tafsiri kuwa ni kama vile kamlenga bosi wake na mteuzi wake Mwenyekiti wa chama chake ambaye wapambe wanajipitisha sana wakimuambia huna mpinzani.

Ushauri waweza kuwa mzuri, lakini kwa huyo bosi wake tunavyo mfahamu Hapi anaweza kula za uso akashangaa.

Hata hivyo hongera Hapi kwa kumpa ukweli bosi wako kwa kupitia mtu mwingine, umeicheza sanaa vizuri.
View attachment 1419364

Sent using Jamii Forums mobile app
Sioni ubaya wa kauli ya Mh. Hapi. Alichokuwa amekiandika ni kweli kabisa kwani hata pale mwalimu Nyerere alipoazimia kung'atuka, kuna wapambe walimwambia maneno yanayofanana ila walimwambia kuwa akiondoka mambo yataharibika. Mwalimu aling'atuka na awamu ya pili ikaingia madarakani.
 
Wakati mwingine in vyema kuwa na staha huku ukichunga maneno maana waweza kuwa unasema ukimlenga mtu X lakini yakamchoma Y.

Habari alizoandika Ally Hapi akimlenga Mbunge wa Bukoba mjini Mheshimiwa Rwakatale kuhusu kuwasikiliza wapambe kuwa "huna mpinzani" wengi wamezi tafsiri kuwa ni kama vile kamlenga bosi wake na mteuzi wake Mwenyekiti wa chama chake ambaye wapambe wanajipitisha sana wakimuambia huna mpinzani.

Ushauri waweza kuwa mzuri, lakini kwa huyo bosi wake tunavyo mfahamu Hapi anaweza kula za uso akashangaa.

Hata hivyo hongera Hapi kwa kumpa ukweli bosi wako kwa kupitia mtu mwingine, umeicheza sanaa vizuri.
View attachment 1419364

Sent using Jamii Forums mobile app
dah.... mkuu wewe ndiyo sasa umemchongea mwenzio kwa kuileta huku kwenye jukwaa maarufu JF ambako "nusanusa" wa mteuzi wanajivinjari hourly.
 
Sasa hivi Chadema ina vijana wengine "ndio Mzee wa Mbowe". Wenye akili tuliondoka na Dk. Slaa. Subirini baada ya uchaguzi wa 2020. Vijana watamuondoa kama ile " Chakubanga Ampiga Mkoloni".
Mliondoka na Dr Slaa? Kwa hiyo kwenu nyie huyo anayepigishwa deki na mkewe kwa makofi ndio rolomodo wenu?
Kijana umeangamia!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dah.... mkuu wewe ndiyo sasa umemchongea mwenzio kwa kuileta huku kwenye jukwaa maarufu JF ambako "nusanusa" wa mteuzi wanajivinjari hourly.
Lazima Rais Magufuli atambue kuwa hawa vijana wake ni hatari kwake pia. Kama wanaweza kumshambulia kwa mafumbo huku majukwaani wanamsifu ni kuwa wanamdharau na kumuona hana uelewa.
Kwamba ni vema kujitambua wakati wa kuingia (2015) na wakati wa kutoka (2020)! Hawa nihatari zaidi kuliko hata Chadema, maana inaonyesha wanamuunga Membe chinichini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom