Nyie Watu Vipi Mnapenda Kufuatilia Ya Wenzenu Tu,mkiguswa Nyinyi Ni Kama Sindano Ya Moto Iliyopita Mioyoni Mwenu....
Mkae Mjue Hamtupi Mawe Kwa Vilema Hata Sisi Tunamikono Na Tunauwezo Vilevile Wa Kutupa.
Ccm wanao utamaduni Huo wa kuachiana uongozi Kama Katiba Yao inavyohitaji, hapo tuwasifu.JK alipokea Toka kwa Mkapa na atakabidhi kwa JPM ifikapo 2017.Matatizo yapo upinzani...Tuhoji Mbowe atakabidhi Lini uenyekiti?..
Umeelewa maudhui ya post kweli?
JK abaki kuwa mwenyekiti wa chama, magufuli anakazi kubwa ya kudeki hii nchi.
Kunywa pombe ni kipaji pia!Kikwete hatakiwi kuendelea na nafasi kubwa kiasi hicho katika chama, amelifanyia Taifa mambo 'makubwa' ya kusisimua.......apumzike.
Ni kweli kwa nini Kikwete abakie kuwa mwenyekiti wa chama? Huyu inabidi anyang'anywe uenyekiti mara moja wala asibakie kiporo.
Mbona yeye aliachiwa na Mkapa kabla ya 2007?Mkapa amekuwa mwenyekiti kwa miaka 7 tu badala ya kumi!Jk anatakiwa kutumia busara na si shinikizo amuachie mh Pombe uenyekiti wa ccm ili afanye kazi yake kwa amani maana kama akina Riz walikuwa wanafanya biashara tujiridhishe kama ilikuwa halali na kodi zililipwaCcm wanao utamaduni Huo wa kuachiana uongozi Kama Katiba Yao inavyohitaji, hapo tuwasifu.JK alipokea Toka kwa Mkapa na atakabidhi kwa JPM ifikapo 2017.Matatizo yapo upinzani...Tuhoji Mbowe atakabidhi Lini uenyekiti?..
JK abaki kuwa mwenyekiti wa chama, magufuli anakazi kubwa ya kudeki hii nchi.
Kwani Wewe Katiba Ya Ccm Unaijua?Kikwete Anamaliza Muda Wake 2017,unaposema Anautaka Wakati Muda Wake Wakumaliza Bado Unashangaza!
Na Wewe Umeelewa Jibu Alilotoa??
Katoa Jibu Kauliza Swali,jk Anamaliza Muda Wake 2017,je,mbowe Anamaliza Muda Wake Lini Au Katiba Ya Chadema Inasema Nini Juu Ya Ukomo Wa Mwenyekiti?
Naifahamu Mkuu...ila sote huwa tunatumia Busara kukaimisha uongozi...Kwani Wewe Katiba Ya Ccm Unaijua?Kikwete Anamaliza Muda Wake 2017,unaposema Anautaka Wakati Muda Wake Wakumaliza Bado Unashangaza!
Naifahamu Mkuu...ila sote huwa tunatumia Busara kukaimisha uongozi...
Kama ilivyokuwa kwa mwalimu mpaka kwa Ben....
Kikwete mwenyewe alipewa kabla ya Muda.
Tafuta sababu ya kupewa kabla ya muda utaelewa namaanisha nini..
Sitarudi kuchangia hii kitu...mzee kikwete apumzike tujue madudu yaliyopo katika chama pia...au mnaogopa kuumbuka?
Nenda kamuulize RazaCcm wanao utamaduni Huo wa kuachiana uongozi Kama Katiba Yao inavyohitaji, hapo tuwasifu.JK alipokea Toka kwa Mkapa na atakabidhi kwa JPM ifikapo 2017.Matatizo yapo upinzani...Tuhoji Mbowe atakabidhi Lini uenyekiti?..
Kada mkongwe wa Chama Cha Mapinduzi, kataka Rais mstafu Jakaya Kikwete kuondoka na kumwachia Rais mpya, John Magufuli uenyekiti wa CCM...
Kada huyo kasema hayo leo, huku baadhi ya wabunge vijana nao wakijipanga kumuomba Kikwete, kuondoka na kumwachia Magufuli chama kama walivyofanya watangulizi wake, Rais Mwinyi, na Mkapa...
Source: Gazeti la Leo