Nakumbuka niliwahi kufunga na kuomba kwamba CCM wameguke, naona maombi yanaanza kujibhiwa kwa hatua kwani wameanza kutoana macho ili wasione kabisa the iwe rahisi KWETU kushika hatamu (patamu)
ila wengine hupenda kukusoa huku wakitafuta umaarufu.
Pengine ungejuiliza kwanini watu wengi wanapokuwa juu kiuchumi/kimaisha/kisiasa katika kipindi fulani maneno na kauli zao huwa tofauti na wanapokuwa chini.Nilichojifunza nalo hapa ni mambo mawili.
Kumbe Uzalemdo si rangi wala kabila la mtu kama tulivyoambiwa na baadhi ya Wakubwa wetu kuwa Wazalendo ni wenye asili ya Uafrika tu.
Kumbe unaweza ukawa mfanyabiashara na mwanachama wa CCM na isiwe lazima uwemo kwenye Kamati Kuu au Ubunge.
Pengine hii migogoro ya maslahi na ufisadi ingeepukwa kama mambo mawili hayo yangefuatwa.
Ukisikia ukuda ndio kama huo
Pengine ungejuiliza kwanini watu wengi wanapokuwa juu kiuchumi/kimaisha/kisiasa katika kipindi fulani maneno na kauli zao huwa tofauti na wanapokuwa chini.
Pengine ungejuiliza kwanini watu wengi wanapokuwa juu kiuchumi/kimaisha/kisiasa katika kipindi fulani maneno na kauli zao huwa tofauti na wanapokuwa chini.
Hizo ni longolongo za waliochoka , huyo nae kwani ni fisadi kidogo ,huyo Raza ndie yule aliewanunulia mapanga watu na kutaka wayatumie katika kuuwa jamaa zao, au amesahau ,huyu nae aliwahi kuzabwa kibao na Karume hadi leo picha haziendi ,wakati Karume ni waziri wa Biashara yeye akiwa mshauri wa Salmini Amuri.
Na ni mmoja wa anesemekana anahusika na madawa ya kulevya pale Zanzibar ,sijui kama hayumo ndani ya listi ya Mkwere.
Tatizo la jamii za Kitanzania zenye asili ya Kihindi huwa ni watu wa maslahi na hubadilika na wakati ,kesho CUF ikiingia madarakani basi si hasha ukamsikia anawapelekea kontena la bendera , aloo bora mwambieni achunge maana CUF haitakubali kuhongwa kama anavyohonga huko kwa Sultani CCM ,mambo yatakuwa ni straight forward ,fuata sheria kwisha ,unahusika na ubadhirigfu ushahidi kidogo tu utasaidia kukukwamisha japo mwezi jela. Alimuradi wananchi waridhike basi ,maana wakisharizika wananchi ndipo hatua ya manedeleo itakapoweza kupatikana ,lakini kwa hizi longolongo zao kila mmoja anasoma shairi kumsinda mwenziwe hatufikishwi mbali tunazungulushwa humu humu mjini.