Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Aug 14, 2022 #121 Hakika, amenena vyema... lakini ndiyo ishakua hivyo...
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,189 Reaction score 128,283 Aug 14, 2022 #122 PAGAN said: Yaani mkeo na wewe wote ni wanawake tofauti iliyopo ni mmoja tu kati yenu hazioni siku zake. Click to expand... Hapa tayari umeshapanic 😂
PAGAN said: Yaani mkeo na wewe wote ni wanawake tofauti iliyopo ni mmoja tu kati yenu hazioni siku zake. Click to expand... Hapa tayari umeshapanic 😂
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,490 Reaction score 138,365 Aug 17, 2022 #123 cocastic said: [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkiwadanganya watu wa FB inatosha, vanny yupi mwenye pesa chafu?? Nacheka km mwehu lol. Click to expand... Hawa wasani sahv wanajitahidi wana pesa hata ss raia hatuwagusi ujue Wanatengeneza hela sahv,mambo ya digital platform imewasaidia sana Ova
cocastic said: [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkiwadanganya watu wa FB inatosha, vanny yupi mwenye pesa chafu?? Nacheka km mwehu lol. Click to expand... Hawa wasani sahv wanajitahidi wana pesa hata ss raia hatuwagusi ujue Wanatengeneza hela sahv,mambo ya digital platform imewasaidia sana Ova
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 123,324 Reaction score 202,767 Aug 28, 2022 #124 chokodari said: Baki hivyo hivyo haina shaka kwa sisi tunaomfahamu haitupi shida wewe kupinga coz haisaidii kitu Click to expand... Nitoleee upuuzi wako, vanny hana pesa chafuuu, khaaaah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
chokodari said: Baki hivyo hivyo haina shaka kwa sisi tunaomfahamu haitupi shida wewe kupinga coz haisaidii kitu Click to expand... Nitoleee upuuzi wako, vanny hana pesa chafuuu, khaaaah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 123,324 Reaction score 202,767 Aug 28, 2022 #125 mrangi said: Hawa wasani sahv wanajitahidi wana pesa hata ss raia hatuwagusi ujue Wanatengeneza hela sahv,mambo ya digital platform imewasaidia sana Ova Click to expand... Hata km sio kwa vanny, tusidanganyane hapaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mrangi said: Hawa wasani sahv wanajitahidi wana pesa hata ss raia hatuwagusi ujue Wanatengeneza hela sahv,mambo ya digital platform imewasaidia sana Ova Click to expand... Hata km sio kwa vanny, tusidanganyane hapaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]