Sahihisha kidogo hapo mtunzi sio fresh Jumbe ambae makazi yake au shughuli zake zipo Japan huyu anae tokea mwisho kama baba wa bint ni husein Jumbe (mzee wa kuchechemea )ndio mtunzi wa wimbo huo.
Moja ya kazi zake ni
Maneno mengi yalisemwa juu yangu mie
Na wengine wakatangaza nimeaga dunia
Na sanduku la gharama wakanichongea
Kwa mapenzi yake jalali leo mie nachechemea
Mpakanjia njia uko wapi nachechemea
Naja taratibu mie nachechemea