Dah! Una wivu ile mbaya aiseeMimi sioni jipya. Kama ni studio hlnaona asilimia kubwa ya wasanii wana studio zao nyumbani.
Mpaka Nuhu Mziwanda ana studio.
Ingawa kwenye maisha hakuna mipaka, siyo vibaya kujaribu.
Ila Wasafi walitakiwa kumpa UHURU Rayvanny ajaribu kuweka asilimia 100 kwenye hilo lengo lake jipya.
Hiki anachokifanya sasa hivi ni HOFU na UWOGA.
Ni sawa na shoga anaeliwa, halafu na yeye anajifanya kuoa. Siku akiwa na ratiba ya kuliwa, ratiba kwa mke wake zinavurugika.
Au ndio kujiajiri wakati umeajiriwa ???
Anyway ndio maisha hayo, anaepusha shari anayoiona mbele yake Kwasababu ya roho mbaya na fitna za waswahili.
Wazee wa kukaza fuvu la kichwaMimi sioni jipya. Kama ni studio hlnaona asilimia kubwa ya wasanii wana studio zao nyumbani.
Mpaka Nuhu Mziwanda ana studio.
Ingawa kwenye maisha hakuna mipaka, siyo vibaya kujaribu.
Ila Wasafi walitakiwa kumpa UHURU Rayvanny ajaribu kuweka asilimia 100 kwenye hilo lengo lake jipya.
Hiki anachokifanya sasa hivi ni HOFU na UWOGA.
Ni sawa na shoga anaeliwa, halafu na yeye anajifanya kuoa. Siku akiwa na ratiba ya kuliwa, ratiba kwa mke wake zinavurugika.
Au ndio kujiajiri wakati umeajiriwa ???
Anyway ndio maisha hayo, anaepusha shari anayoiona mbele yake Kwasababu ya roho mbaya na fitna za waswahili.
kwahiyo sio ya VannyNext Level ni kampuni ya Adam Juma
Labda awe amenunua hisa more than 50%, ila kwa tunaofuatilia Music hapa bongo Next Level ni kampuni ya Adam Jumakwahiyo sio ya Vanny
Mbona huweleweki unasimamia niniLabda awe amenunua hisa more than 50%, ila kwa tunaofuatilia Music hapa bongo Next Level ni kampuni ya Adam Juma
Next level ni ya Adam Juma,Mbona huweleweki unasimamia nini
Mada inahusu Next Level Music na ni kampuni mpya hemu elezea hiyo Next Level unayoisema ueleweke...
1)Unamaanisha NLM mmiliki huyo Adam
2)Au umechanganya majina
mkuu dunia ya leo hata hatuangalii anacopy au anatunga mwenyew ,swal ni je anaingiza mpunga??,kama ni ndio bas haina shidaVanny boy anaweza paa na brand yake kuliko hamonize. Kitu nachomkubali vanny ni ile identity yake.
Sipendi hamo anapo copy na ku paste kila kitu. Mara a copy mondi, mara kiingereza cha wa naija..hii kitu siungi mkono. Ingawa natambua ana talent.
Ya Rayvanny inaitwa next level musicNext level ni ya Adam Juma,
Wapi nimechanganya wakati nimekwambia next level ni ya Adam Juma, labda vinginevyo
Ww huoni hapo kuna likelihood ya kuleta confusion? Brela wataruhusuje Kampuni isajiliwe kwa jina ambalo lipo?, unless otherwiseYa Rayvanny inaitwa next level music
Sawa Next Level ya Adam na Hawa pia ukiwemo wewe.Next level ni ya Adam Juma,
Wapi nimechanganya wakati nimekwambia next level ni ya Adam Juma, labda vinginevyo
Record label sio studio hiyo ni kampuni ya kupromote na kuuza muziki.Mimi sioni jipya. Kama ni studio hlnaona asilimia kubwa ya wasanii wana studio zao nyumbani.
Mpaka Nuhu Mziwanda ana studio.
Ingawa kwenye maisha hakuna mipaka, siyo vibaya kujaribu.
Ila Wasafi walitakiwa kumpa UHURU Rayvanny ajaribu kuweka asilimia 100 kwenye hilo lengo lake jipya.
Hiki anachokifanya sasa hivi ni HOFU na UWOGA.
Ni sawa na shoga anaeliwa, halafu na yeye anajifanya kuoa. Siku akiwa na ratiba ya kuliwa, ratiba kwa mke wake zinavurugika.
Au ndio kujiajiri wakati umeajiriwa ???
Anyway ndio maisha hayo, anaepusha shari anayoiona mbele yake Kwasababu ya roho mbaya na fitna za waswahili.
Zako ziko wapi?Sio label yake rayvanny hana hela hiyo..anatumika tu
Young Money ipo ndani ya Cash money, Ovvo ipo ndani ya Young money.Mti unaoota juu ya mti mwengine huwa ni tawi. Inawezekanaje NLM iwe ndani ya WCB na bado iwe ni nembo huru.
Hii ni tz mkuungwa, kwanza nashukuru kwa kunifahamisha hayo sikuwa nayajua kabla. Maono yangu haitojitawala akiwa bado yuko chini ya mabosi wa WCBYoung Money ipo ndani ya Cash money, Ovvo ipo ndani ya Young money.
G Unit ilikuwa ndani aftermath, shady ilikuwa ndani aftermath.
Kanye West ana label yake akiwa ni msanii aliyekwenye label ya Jay Z.
Tatizo mashabiki maandazi exposure ya biashara ya muziki inawasumbua.
Muziki sio mambo yenu ya CCM na Chadema au Simba na Yanga.
Watu wanaangalia pesa mkuu, huwezi kukaa mbali na watu wanaoleta pesa kwenye account eti kwa sababu utaonekana haujitawali.Hii ni tz mkuungwa, kwanza nashukuru kwa kunifahamisha hayo sikuwa nayajua kabla. Maono yangu haitojitawala akiwa bado yuko chini ya mabosi wa WCB
Uzuri wa internet haisahau. Ukikuwa utakuja kujishangaa sana kwa jinsi kwa akili hii.Dah! Una wivu ile mbaya aisee
Bado hajatoka kwenye systemHapa sasa patamu, tuone nae uwezo wake halisi nje ya system.