Leak Platinum Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,939 Reaction score 43,569 Mar 31, 2021 #21 devor said: Kiukweli msanii rayvanny mziki wake au kile anacho kiimba kimechokwa kwakweli yaani staili niile ile habadiliki anaimba utoporo tu Fatilia nyimbo yake korona,kifo, nyimbo zake zinachosha kusikilizwa kwa kweli Click to expand... Nafikiri Rayvany ni kweli hana jambo jipya kabisa pia hata mvuto umekwisha kabisa pale WCB amebaki Mbosso na Diamond kwa upande wa wanaume
devor said: Kiukweli msanii rayvanny mziki wake au kile anacho kiimba kimechokwa kwakweli yaani staili niile ile habadiliki anaimba utoporo tu Fatilia nyimbo yake korona,kifo, nyimbo zake zinachosha kusikilizwa kwa kweli Click to expand... Nafikiri Rayvany ni kweli hana jambo jipya kabisa pia hata mvuto umekwisha kabisa pale WCB amebaki Mbosso na Diamond kwa upande wa wanaume