Rayvann unatuabisha watanzania

Bulaya001

JF-Expert Member
Dec 21, 2018
5,042
2,000
RayVanny Anatuabisha Watanzania Jamani! Inakuwaje Msanii Anajisia Kufikisha Views Million 4 ndani ya Siku wakati Yeye Sio Sababu Ya Kufikisha Hao Views? Hata walio Mshirikisha Watashangaa,Au kwasababu Hawajui kingereza

-RayVanny Hiyo Treasure Hujaweka Kwenye Account Yako Ya Youtube! Umeweka Kwa Mwanadada Anaefuatiliwa Sana India ndio maana views Wamefika Hao Kwa muda Mfupi na Waliovew sana ni Wahindi Kwanini Ujisifie? Yule Dada Akiweka Hata Video Ya HarmoRapa Atapata Views Kibao Ndani ya muda mfupi

-Wimbo Umeshirikishwa Kwanini Unasema Wako?

Hata Diamond Nae aliingia Mkenge Kukusifia Kwa Views Wengi Lakini Sio uhalisia

Usiseme Muna Nyumba Nzuri akati Nyumba Ni Ya Mjomba Wako View attachment 1200903 View attachment 1200904 View attachment 1200905 View attachment 1200902
kuna collaboration za kimataifa nyingi TU, eg ya yemi alade vs Rick Ross why ngoma ile hadi hivi leo haina hata views M5 huko YouTube ili hali Ross ni msanii mkubwa duniani tena mwenye jina kubwa duniani na wanao mfuatilia ni watu kibao ulimwenguni kote?? kumbuka mziki wa sasa unaendeshwa kisomi zaidi hamanishii views hizo kwake zitampita mkenge, jua kabisa kwa kila view ana per cent yake mkuu.
 
Goodluck Mchika

JF-Expert Member
Jul 29, 2018
721
500
Wa-Tanzania tuelewe kuna tofauti kati ya Collaboration na Featuring.
Hicho hapo ni Collaboration na kwa biashara ya muziki, YouTube ya huyo bi dada ilikuwa ina faida kubwa sana kuliko ya Ray... Maana yake mmoja kati yao angeweza kuiweka kwenye a/c yake lakini faida zaidi ipo wapi ndio maana ya kufanya hivyo.
nyimbo si ya rayvanny kwenye ukweli tuseme si sababu hewa
 
Goodluck Mchika

JF-Expert Member
Jul 29, 2018
721
500
kuna collaboration za kimataifa nyingi TU, eg ya yemi alade vs Rick Ross why ngoma ile hadi hivi leo haina hata views M5 huko YouTube ili hali Ross ni msanii mkubwa duniani tena mwenye jina kubwa duniani na wanao mfuatilia ni watu kibao ulimwenguni kote?? kumbuka mziki wa sasa unaendeshwa kisomi zaidi hamanishii views hizo kwake zitampita mkenge, jua kabisa kwa kila view ana per cent yake mkuu.
acha kukalili IT tupo hpa wewe YouTube unalipwa kwa click za matangazo kulingana na walioview tangazo sio kutetea mahaba yako
 
Top Bottom