Rayvann unatuabisha watanzania

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Messages
3,296
Points
2,000

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined Sep 6, 2014
3,296 2,000
RayVanny Anatuabisha Watanzania Jamani! Inakuwaje Msanii Anajisia Kufikisha Views Million 4 ndani ya Siku wakati Yeye Sio Sababu Ya Kufikisha Hao Views? Hata walio Mshirikisha Watashangaa,Au kwasababu Hawajui kingereza

-RayVanny Hiyo Treasure Hujaweka Kwenye Account Yako Ya Youtube! Umeweka Kwa Mwanadada Anaefuatiliwa Sana India ndio maana views Wamefika Hao Kwa muda Mfupi na Waliovew sana ni Wahindi Kwanini Ujisifie? Yule Dada Akiweka Hata Video Ya HarmoRapa Atapata Views Kibao Ndani ya muda mfupi

-Wimbo Umeshirikishwa Kwanini Unasema Wako?

Hata Diamond Nae aliingia Mkenge Kukusifia Kwa Views Wengi Lakini Sio uhalisia

Usiseme Muna Nyumba Nzuri akati Nyumba Ni Ya Mjomba Wako
IMG_0023.JPG
IMG_0024.JPG
IMG_0025.JPG
IMG_0023.JPG
 

tameer

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2011
Messages
742
Points
1,000

tameer

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2011
742 1,000
Wimbo umeandikwa "and" na sio "ft" maana yake hajashirikishwa bali wameshirikiana

Hapo unakua wimbo wa wote,kila mmoja kati yao ana haki ya kuita wake.
 

Chachasteven

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2014
Messages
1,493
Points
2,000

Chachasteven

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2014
1,493 2,000
Wa-Tanzania tuelewe kuna tofauti kati ya Collaboration na Featuring.
Hicho hapo ni Collaboration na kwa biashara ya muziki, YouTube ya huyo bi dada ilikuwa ina faida kubwa sana kuliko ya Ray... Maana yake mmoja kati yao angeweza kuiweka kwenye a/c yake lakini faida zaidi ipo wapi ndio maana ya kufanya hivyo.
 

dos.2020

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2009
Messages
2,698
Points
2,000

dos.2020

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2009
2,698 2,000
Kusema kwamba mwanadada ndie aliefanya hiyo teaser ifikishe 4.5 m ni kumkosea adabu vanny boy. Nimeangalia youtube channel ya huyo dada hana wimbo hata mmoja aliozidi 5M viewers
mkuu tafuta music video za huyu dada kugonga mpaka 100m viewers ni kawaida tu. Ana song ina 0.6B Viewers inaitwa Dilbar. Huwezikuta kwenye channel yake mana mifumo ya Bollywood nyimbo inatolewa na Company inayosimamia kama T-series au Sony. Na si kwa muimbaji au Performer na wala composer.


 

Forum statistics

Threads 1,367,136
Members 521,667
Posts 33,388,591
Top