Sija mind ila wewe ni mgumu wa kuelewa
Wewe unachoongea sio fact
mimi nimeuliza na nime speculate tu
je hao wasanii wanapata pesa zao direct from you tube?
au labda mtu mwingine anapokea na wao kupewa kidogo?
sikuandika kama nina uhakika
it was just a question....
Wewe umeibuka kunishangaa mimi na ku doubt uwezo wangu
halafu kumbe unachoongea wewe ni hisia zako tu
kwa jinsi ulivyo sikia....sio fact
wala hata mikataba yao WCB huijui...