Ray taratibu tafadhali

mwalimu alikufa wakati wa zamani enzi hizo watanzani tuko milion 20 na kanumba kafariki wakati watanzania tuko milioni zaidi ya arobani so nakubaliana na ray au?
 
dah watanzania tunapenda sifa mno jamani!!!
watu wa kweli tumeumia lakini hayakua mashindano.............au anataka na yeye ikitokea watakaokuwepo wamshindanishe??

kama mtu huna kitu cha busara heri usiongee
 
Kwanza atoe picha za Maiti ya Marehemu Kanumba kwenye Blog yake.
 
Ray n limbuken na mjinga, hop 'Kanumba' ameondoka na umaarufu wake...better nw aanze kuongea kwa vitendo, vngnevyo, mwisho wake umefika!
 
Mmmmh jamani mmemshambulia kwa fujo mpaka nikahisi kwamba ni mtu alikuwa anasubiriwa akosee tu kidogo wamshambukie. Jamani tuacheni chuki za kuambukizana. Kama mtu anamchukua huyu jamaa kwa sababu zake mwenyewe, na amchukie peke yake. Asiwaambukize watu wengine. Na kama kweli amesema hivyo tumsamehe. Tuishi kwa kupendana eti jamani.
 

unajisumbua na Ray?! Mbona ni kiazi sawasawa! Nyerere hata mimi nilipanga mstari saa nane mchana zamu yangu ikawa saa tisa usiku. Ilikuwa nyomi ya ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…