ha ha ha ndo mana sitaki mwanangu wala ndugu yangu awe msanii maana maisha yake halisi yanageuka kuwa usanii ptuu hivi jibaba zima kama hili linahangaika nini
eeeh kusema kweli nimestuka jamani nkahic amenyoa hapo kati .....mmmh sipati picha angekuwa na kipara kofia ingekuwa haibanduki kichwani kama NEYO.:scared: