Watu wengi wanaogopa magari ya D4 engine ila ni Kwa vile mafundi wetu wengi hawataki kuumiza vichwa vyao kwenye magari ya kisasa
Wanawatishia watu ila kiukweli ni gari nzuri sana
Unajua huku Arusha watu wengi hawanunui gari bila kutafuta ushauri Kwa mafundi So Utakuta fundi anakushauri ununue kile ki-rav4 Cha zamani 1998 chenye injini ya 3s na vinauzwa ghali sana hapa jijini Arusha ...sio chini ya 14 milioni
Ndio utajua Tz ujinga ni mwingi sana
View attachment 1968911