Wanasema nguo iliochakaa ni dekio jipya 😁😁Badilisha iyo kauli ya gari mpya kabisa, sema hivi gari used from japan iliyotembea 60KM..
Odometer kama ingesoma 0km ungeeleza kuwa gari ni mpya kabisa .
Huko shule kwani walisomea ujinga 😆😆😆Wanasema nguo iliochakaa ni dekio jipya 😁😁