Nipo Tanga kwa sasa ila gari ipo dar.Muuzaji upo mkoa gani, tupe full physical address.
:yell::yell::yell::yell: (litakuwa la wizi na uchakachuzi) :yell::yell::yell::yell:Ni auto, vibali vimeisha. Km20000
bizplan mbona unaambiwa uweke namba unachomoa kaka niaje aje?
ni namba ngapi sema basi? ukimya wako unaleta mashaka!!
motorvehicle vp iko poa? haidaiwi?
Umekwepa kuonesha namba kwa vile ni la wizi au.........?
Weka plate number Mkuu tuone
Sio la wizi ila si lazima pia kuonyesha.