Mkubwa kwa kodi za tra sina tatizo nazo,shida ipo kwenye hyo cif,ukienda tradecarview rav4 zipo hadi za cif ya 3000usd na zipo katika hali nzuri! Hizi tunazonunua kwa showroom zetu huku bongo ni zile za grade ya chini kabisa wakifika huku ndio wanarekebisha makosa na wanauzia watu kwa bei juu.....
Mkuu King Kong III, Nakubaliana na wewe kuhusu uchakachuaji kwenye yard za bongo, lakini napenda nikueleze ukweli kuwa RAV4 ya cif ya dollar 3,000 haitakuwa na hali nzuri kama za kuanzia dollar 4500- 5000, trade car view quality ya magari yao siyo nzuri sana kivile that is why price zao pia zipo chini kidogo, ukitaka quality za used car waone car junction japo bei zao zimesimama lakiani kwa ubora value for money inazingatiwa. Note, Hakuna kitu cheap hapa duniani but the issue is value for money vs QUALITY.

Uko right,
Uko wrong.
Tradecarview sio dealer mmoja, ni mtandao wa groups of dealers. Hata hao Car Junction na Autorec wanaosifiwa nao wapo ndani ya Trade Carview.
Ukichagua kwenye Tradecarview utawaona various dealers for the same vehicle, so it easy to find reliable dealers kama unawajua.
Ni heri upate gari hata kwa hao unaowasema vimeo wa Japan kuliko ununue kwa kina TOTO KANKO wanaobadilisha Engine na kuweka USED-BONGO wakati nje body inaita.
Ninayo ya 1998 ambayo ni manual naiuza sababu haitumiki kwa sana. Kama upo interested niambie.Asante na mimi budget yangu ni million 10 tu..
Regards,
Jonathan.
Ninayo ya 1998 ambayo ni manual naiuza sababu haitumiki kwa sana. Kama upo interested niambie.
Uko right,
Uko wrong.
Tradecarview sio dealer mmoja, ni mtandao wa groups of dealers. Hata hao Car Junction na Autorec wanaosifiwa nao wapo ndani ya Trade Carview.
Ukichagua kwenye Tradecarview utawaona various dealers for the same vehicle, so it easy to find reliable dealers kama unawajua.
Ni heri upate gari hata kwa hao unaowasema vimeo wa Japan kuliko ununue kwa kina TOTO KANKO wanaobadilisha Engine na kuweka USED-BONGO wakati nje body inaita.
Umetumia kikokoteo cha TRA wewe au ume guess tu? Hyo bei ya 16m labda ya mwaka 2003 au 2004 za 99 kuja chini bei yake ndio hio ikizidi sana 11 tena kama umechagua ya cif kubwa lakini ukiagiza za cif ndogo hadi 10 unaweka barabarani...wewe ndio unadanganya watu kama ingekuwa kuagiza ni 16 basi yadi zingekuwa zinauzwa 19m...
Ninayo ya 1998 ambayo ni manual naiuza sababu haitumiki kwa sana. Kama upo interested niambie.
Ipo Dar. Bei TZS 9m.Bei imesimamaje? iko wapi?
mkuu bei yake kama ni showroom za hapa bongo zinaanzia 14.5m,cjui wewe unahitaji ambayo imeshatumika hapa bongo au mpya