jonathan18
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 201
- 94
mkuu hizo gari hazina tofauti labda tofauti kwamba moja imetengenezwa 1998 na nyingine 1999 lakini kila kitu ni sawa nimewahi kuzimiliki zote na hadi leo bado ninayo,otherwise ni gari nzuri sana na ni imara hazisumbuiNataka kujua bei ya Rav 4 ya mwaka 1998 au 1999 na labda tofauti yake nini naomba wazoefu wa magari wanielezee please I'm interested to buy that particular type of a car...!!!
Regards,
Jonathan.
Bei yake.mkuu hizo gari hazina tofauti labda tofauti kwamba moja imetengenezwa 1998 na nyingine 1999 lakini kila kitu ni sawa nimewahi kuzimiliki zote na hadi leo bado ninayo,otherwise ni gari nzuri sana na ni imara hazisumbui
mkuu hizo gari hazina tofauti labda tofauti kwamba moja imetengenezwa 1998 na nyingine 1999 lakini kila kitu ni sawa nimewahi kuzimiliki zote na hadi leo bado ninayo,otherwise ni gari nzuri sana na ni imara hazisumbui
Thank you na bei yake vip?
Regards,
Jonathan.
Dubai ni dola 4500 mpaka 6000 unapata
But kuagiza naskia pia kuclear ni usumbufu na inachukua muda ni kweli?
Regards,
Jonathan.
Sasa ulitaka ukiagiza gari japan leo kesho iwe imefika? Lazima itachukua muda watu wengi wananunua hapa kwa sababu ya mcheche(kieleele) wa kuwa na gari fasta kuvumilia wiki3 anaona nyingi na ndio hapo hapo anapigwa hata m3 na show room za hapa!! Kuagiza hyo rav4 mpka unaitoa ni kama 10m hv!!
Asante nimekuelewa inakuwa lakini kwenye condition nzuri?

Mkuu acha kumdanganya, huwezi kuagiza RAV4 kutoka japani mpaka unaitoa ikawa milioni 10, RAV4 ya 1999 ushuuru wa TRA ni around 5.8 milioni , kwa maana hiyo bei ya RAV4-1999 Mpaka kuweka barabarani bila Bima ni around 15.8 to 16 milioni, usidanganyike ukaagiza ukakwama bandarini kama bajeti yako ni ndogo mkuu.

Umetumia kikokoteo cha TRA wewe au ume guess tu? Hyo bei ya 16m labda ya mwaka 2003 au 2004 za 99 kuja chini bei yake ndio hio ikizidi sana 11 tena kama umechagua ya cif kubwa lakini ukiagiza za cif ndogo hadi 10 unaweka barabarani...wewe ndio unadanganya watu kama ingekuwa kuagiza ni 16 basi yadi zingekuwa zinauzwa 19m...
Note used car zinauzwa kulingana na ubora wa hali ambao zipo nao that means bei ya CIF inatofautiana kulingana na ubora wa gari, generally ukitaka RAV4 yenye ubora ya mwaka 1998 or 1999 ina range kati ya CIF ya dollar 4700 hadi 5500, so it is up to you unataka RAV4 iliyo na hali nzuri( bora) au just you need RAV4, Unaweza kupata RAV4 kwa CIF ya dollar 3500 but haiewzi kuwa sawa kiubora na ya CIF ya dollar 4800 0r 5200, take this from me my friend.
Asante nimekuelewa inakuwa lakini kwenye condition nzuri?
Regards,
Jonathan.
Nataka kujua bei ya Rav 4 ya mwaka 1998 au 1999 na labda tofauti yake nini naomba wazoefu wa magari wanielezee please I'm interested to buy that particular type of a car...!!!
Regards,
Jonathan.