golden pride
JF-Expert Member
- Oct 24, 2014
- 847
- 435
Nenda facebook halafu search Magari Sokoni Showroom ingia kwenye hiyo page mfuate mmiliki wa page messenger naamini ishu yako itafanikiwa.Bado gari inahitajika
Sijawahi ona ya milango 4!Milango 5 au 4???[emoji15][emoji15][emoji15]
Buti linahesabiwa kama mlango pia.Milango 5 au 4???[emoji15][emoji15][emoji15]
Boneti linahesabiwa kama mlango pia.
Nahisi waliconsider verse ya Fid Q kua.
Mlango siyo mlango hadi ufungwe au uachwe wazi...
Wakaona ok now kama boneti linaweza fungwa au kuachwa wazi si ni mlango pia?
Kwani mlango wa nyuma wa kuwekea mizigo watu wengi tunauitaje?Mlango wa Nyuma ndio Mlango wa tano mkuu. Bonnet inabaki kuwa bonnet. Kwa hiyo Rav 4 milango mitano ni minne ya pembeni na moja wa nyuma.
Mtoa mada kwa maana nyingine ameweka wazi kuwa haitajaji Rav4 Milango mitatu ; miwili ya pembeni na moja wa nyuma.
ikiKwani mlango wa nyuma wa kuwekea mizigo watu wengi tunauitaje?
Nilichanganya code kati ya neno boneti na buti. Nilimaanisha buti mwanzo wakati naandika boneti.Sijaelewa swali ila Gari ndogo (Sedan ) kama Carina pamoja kuwa na Buti la kuwekea mzigo nyuma lakini bado wanaiita ni ya milango minne.
iki
Sijawahi ona ya milango 4!
Du...magari yakihesabiwa milango huwa wanasema milango 3 ama 5 si vinginevyoSihawahi ona milango 5 ya abiria either, milango minne na wa trunk ambao upo kwenye kila gari ♀️♀️
Buti ya Carina haiwezi kukupelekea ukatokea ndani ya Gari.Sijaelewa swali ila Gari ndogo (Sedan ) kama Carina pamoja kuwa na Buti la kuwekea mzigo nyuma lakini bado wanaiita ni ya milango minne.
Kila mbuzi anakula urefu wa kamba yake. Kidogo changu si kikubwa cha mwenzanguKwa hayo masharti yako nilijua labda unaanzia 10m
Usiposhukuru kwa kidogo hata kwa kikubwa huwezi kushukuruEboo! Pesa mbuzi masharti kibaao!
Mzee kaka, hali sio rafikiMagari Yapo sema bajetil yako hyo mzee baba
Ova
Upo wapi? Kama upo Arusha njoo uone "kisu" namba "A" ila inamilikiwa na "muhindi." Ukioridhika mfanye biashara. NB: Matairi yote ni mapya (hadi lile la reserve." Rangi ni damu ya mzee.Kama heading inavyosema, gari tajwa hapo juu inahitajika
Sifa
-Engine 3s
-Taa zake ziwe na bulb mbili kwa ndani/partition mbili
-Rangi ya silver, dark blue, blue, damu ya mzee au nyeusi
-Iwe katika hali nzuri
-Namba C na kuendelea
Bajeti 6-6.8m
Simu 0716411720