Rav 4 inauzwa

Rav 4 inauzwa

msweken

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
441
Reaction score
1,717
Ni old model, ya mwaka 1997, imetembea km 135,475, ipo kweye hali nzuri mno, kama unahitaji nichek kwa no. 0713464208. ( inapatikana Dar). bei ni 10 mil. nimeshindwa namna ya kuweka picha hapa, kama unaihitaji nitumie email yako af nikurushie.
 
Nimeshaku2mia mkuu, check e mail yako.
 
Ni old model, ya mwaka 1997, imetembea km 135,475, ipo kweye hali nzuri mno, kama unahitaji nichek kwa no. 0713464208. ( inapatikana Dar). bei ni 10 mil. nimeshindwa namna ya kuweka picha hapa, kama unaihitaji nitumie email yako af nikurushie.
Kweli magari TZ yamekuwa ishu! Gari yenye specification hizi inagombaniwa???
 
Back
Top Bottom