Raum new model, in very good condition for sale

Jay One

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
17,668
18,983
Raum new model, iko ktk hali nzuri sana...
# Metallic Silver
# Sporty rims & tires 15'
# 119,000 km
# T 632 CFU Registered...
# With all documents...
# Hakuna dalali...

Tsh. 12 M... hakuna kupungua..

Anaehitaji anipe phone number hapa au inbox nikutumie pictures... whatsapp

Karibuni... nashindwa kuweka pictures hapa JF with Smart phone...
 
Raum new model, iko ktk hali nzuri sana...
# Metallic Silver
# Sporty rims & tires 15'
# 119,000 km
# T 632 CFU Registered...
# With all documents...
# Hakuna dalali...

Tsh. 12 M... hakuna kupungua..

Anaehitaji anipe phone number hapa au inbox nikutumie pictures... what's up

Karibuni... nashindwa kuweka pictures hapa JF with Smart phone...
Tupiamo tupicha bandugu.
 
Have you read what i said... nitumie namba yako nikutumie picha... kama unataka, ila kama si mnunuzi, keep calm..
 
Hiyo pesa bora nikanunue rav 4 au Xtrail. Mtu mwenyewe unaonekana hujitambui
 
Kuna matapeli humu siku hizi wanataka no za watu kwa kisingizio cha biashara sasa kama unauza kwa nn usiweke picha,gari ziko japan tunaona picha zake sembuse yako iliyopo hapo tabata
 
Back
Top Bottom