Leo mwanangu katimiza miezi minne. Namshukuru Mungu. Jioni saa kumi na mbili nitamuogesha ikifika 2 atakuwa kalala. Mie nitacheki Isidingo na movies kadhaa nilale saa 6.
Kesho nitamtrain housegirl mpya kazi ya kumlea mtoto tu. Ewe Mungu nipe nguvu. Huyu wa sasa hivi sijawahi hata kumpa ambebe. Lunch nitaenda Kilimani Bar Temboni kula mbuzi. Kisha hali ya hewa ikiruhusu nitaenda kuswim Luxury ya Mbezi. I hope sitasinzia ndani ya maji kwa sababu nahisi nina sleeping sickness siku hizi.
Nitarudi home jioni kucheki news, kuoga na kulala.
Sunday nitajaribu a new recipe God willing and sleep the whole afternoon.
Wewe Je?
heeee? Mbona umemganda baba wa watu. Lol. Tupo bwana. Safari zote hizo angekuwepo na mimi na baby.
its all good hun. Weka sembe mezani by all means. Au sio?
usijali Zaburi 138: 1-8 1.Nitakushukuru kwa moyo wangu wote, Mbele ya miungu nitakuimbia zaburi. 2Nitasujudu nikilikabili hekalu lako takatifu, Nitalishukuru jina lako, Kwa ajili ya fadhili zako na uaminifu wako, kwa maana umeikuza ahadi yako, Kuliko jina lako lote. 3Siku niliyokuita uliniitikia , Ukanifariji nafsi kwa kunitia nguvu. 4 Ee Bwana, wafalme wote wa dunia watakushukuru, watakapoyasikia maneno ya kinywa chako. 5 Naam, nitaziimba njia za Bwana, kwa maana utukufu wa Bwana ni mkuu. 6 Ingawa Bwana yuko juu, anamwuona mnyenyekevu, Naye anamjua mwanye kujivuna toka mbali. 7 Nijapokwenda kati ya shida utanihuisha. Utanyoosha mkono juu ya hasira ya ndugu zangu, Na mkono wako wa kuume utaniokoa. 8 Bwana atanitimizia mambo yangu; Ee Bwana fadhili zako ni za milele; Usiziache kazi za mikono yako.awesome. I like. Von Mo share basi huo ujumbe wa Biblia in words. Do it for me jamani.
kuchunwa kupi? Kubanduliwa?
usijali Zaburi 138: 1-8 1.Nitakushukuru kwa moyo wangu wote, Mbele ya miungu nitakuimbia zaburi. 2Nitasujudu nikilikabili hekalu lako takatifu, Nitalishukuru jina lako, Kwa ajili ya fadhili zako na uaminifu wako, kwa maana umeikuza ahadi yako, Kuliko jina lako lote. 3Siku niliyokuita uliniitikia , Ukanifariji nafsi kwa kunitia nguvu. 4 Ee Bwana, wafalme wote wa dunia watakushukuru, watakapoyasikia maneno ya kinywa chako. 5 Naam, nitaziimba njia za Bwana, kwa maana utukufu wa Bwana ni mkuu. 6 Ingawa Bwana yuko juu, anamwuona mnyenyekevu, Naye anamjua mwanye kujivuna toka mbali. 7 Nijapokwenda kati ya shida utanihuisha. Utanyoosha mkono juu ya hasira ya ndugu zangu, Na mkono wako wa kuume utaniokoa. 8 Bwana atanitimizia mambo yangu; Ee Bwana fadhili zako ni za milele; Usiziache kazi za mikono yako.
Not over. Remember today is a public holiday. MLK day! Still chillin' . Kesho narudi kulibeba boksiSHERRIF ARPAIO unapenda sana kunichekesha. The weekend is over. Hahahaaa
GET WELL SOON! Pole sanaa mdau!
ooooh pole and get well soon. Nilisahau a woman of steel. Niliacha pale mawe ndani ya cave yameporomoka.
Putting together a new "Wall to Wall" bookshelf and helping a friend uninstall a butchered Windows 8 installation.
Maybe catch up with my Netflix list, hit the gym.
And drink a lot....
Of water.
oh yeah? Then its all good bro. Its all good!
You could just go fully digital and save a tree or two