Ratiba ya penzi kwa wanandoa kwa afya

Ratiba ya penzi kwa wanandoa kwa afya

hivi kumbe hamu ina ratiba!!! mweee nilikuwa silifahamu hili
 
inategemeana, kuna watu mapenzi yao motomoto zaidi ya joto, hawa ni any time a week.

Na kuna wale wanakua kama wamejikuta kwenye ajali ya ndoa,,,wanaonana kama misukule,,sijui ratiba yao

sure kama ndoa bado changa kweli kila muda unataka kuwa na mwenzi wako ila mkizoeana dah majanga
 
hivi kumbe hamu ina ratiba!!! mweee nilikuwa silifahamu hili

so kila unapojiskia hamu watakiwa kufanya duhh sa akiwa kwenye red card je si ndo pakutafuta mchepuko hapo. Nafkiri discpline na ratiba haikwepeki wadau
 
Sio muhimu kuwekeana ratiba.
Inakuwa kama lazima.
Dont be too predictable Kuwa sponteneous.

Ratiba itaua mapenzi kwa vile kila mmoja anajua ratiba.
Hii haina tofauti na style ya kugegedana.
 
Tendo la ndoa kwa wanandoa halina ratiba maalumu inategemea na ratiba zenu zinasomekaje, anytime nikiona wife kakaa kimtindo tu namtindua iwe jikoni, sebuleni hata kwenye gari ili mradi usalama unaruhusu na mzuka upo yani raha sana, sio mnazoea kila mkilala ndo mnadu , mazoea nayo yanachachusha radha ya sex.
Mfano bidada yuko jikoni anaosha vyombo au anatoka kuoga kavaa kanga moja namwanzishia hapohapo , try kubadilisha style na maeneo ya kuchezea mechi sio kila siku mmezoea uwanja wa nyumbani.
 
waambie hao mura,.
 
Ratiba... ya nini?!
hizo vitu zinafanyika wakati wowote, mahali popote (joke).. ili mradi mastimu yako.

Mambo gani ya kupimiana utamu kwa kijiko:'(
 
Huyo mtoa thread anasumbuliwa na utoto, umemjibu vzr ila mi ningemwambia mara 2 kwa mwez kama mihula ya shule za msingi.

Aaisee ulimwengu una mambo kitaalam mleta mada😡
Ukikaa muda mrefu bila ya kugegeda/kugegedwa lazima pawepo na utofauti kifikra,kiutendaji n.k
Yaonekana unamuda mrefu kweli hujagegedwa ke'
Ama hujagegeda me'
 
Ratiba ya nini???????? arrrrrrgh!!!!!!!!
Ikibidi kutwa mara 5 in dfrnt location as long utamu munaupata vizuri..
 
mara tatu kwa wiki kama vitabu vya mungu visemavyo.
 
niko ndani ya ndoa mpendwa

Oya kusex siyo.....lazima bt ni hisia zako tu zikitaka hata kama ni axubuhi ndo mnaamka.....acha kuiwekea ratiba...labda kama una shughuli za kikazi zinakubana ndo ufanye postponment
 
Back
Top Bottom