Wakuu, naomba taarifa kamili au hata tetesi kwa anayefahamu ratiba ya MTIHANI WA NACTE kwa vyuo vya afya, NTA LEVEL 4 SEMESTER II, kama huo mtihani upo unaanza lini na ni masomo gani yanahusika. Asanteni.