Ratiba ya mtihani Diploma

Bombardear

JF-Expert Member
Aug 24, 2017
241
193
Imezoleka ratiba ya mtihani wa kuhitimu madunzo ya ualimu z huwa zinatoka pamoja na mtihani wa kidato cha sita lakini cha kushangaza imetoka ratiba ya kidato cha sita peke yake lakini ratiba ya kuhitimu mafunzo ya ualimu haijatoka kulikoni mmesahau au la ?! Au mtihani umehairishwa baada ya waaalimu kuwa wanatosheleza
 
Back
Top Bottom