Sakata la gesi Reginald Mengi Anameza Matapishi yake.
Nani ameshasahau habari za Richmond na the power of attorney behind Richmond? Nani ambaye hajui Ngeleja aliwekwa na nani kwenye wizara ya nishati? Au mmesahau Ngeleja ana historia gani na Fisadi Papa amabye R.A.Mengi alimtaja na kuingia ugomvi mkubwa kupitia vyombo vya habari? Nani amabaye hajui kwamba hiyo wizara ya nishati ni basket fund ya The King Maker himself?
leo hii Mengi anapo pitapita na kulia lia kana kwamba haoni uhusiano wa uwaziri wa wizara hiyo na the King Maker Himself anategemea nini? There is nothing Prof. Muhogo can help him kwenye hilo. Anachofanya ni kumeza matapishi yake alipojiingiza kwenye fitna na Fisadi Papa ambaye ana "call shots behind the scene" japo amejiuzuru siasa lakini contract yake bado iko valid mpaka 2015.
Cha msingi Mengi ajipange upya. Kama anataka awe ana "pull strings" ajiingize kwenye mchakato wa kutengeneza serikali mpya au aunganishe nguvu na The king maker ili ED L aingie Jumba Kuu, then wagawane vipande vya keki mpaka FORBES waamishie ofisi zao dare es salaam.