Ratiba ya Ligi Kuu ya Vodacom 2014/15

Ratiba ya Ligi Kuu ya Vodacom 2014/15

Rugby Union

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2012
Posts
402
Reaction score
257
Ratiba%20ya%20liig.JPG

Ratiba ya Ligi Kuu Soka Tanzania Bara msimu wa 2014-15, imetoka mchana wa leo. Ratiba hiyo imezingatia michuano ya Chalenji itakayochezwa Novemba, usajili wa dirisha dogo Nov 15- Des 15, ushiriki wa klabu za Azam na Yanga kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa (CL) na Kombe la Shirikisho (CC).

Mechi zitachezwa wikiendi ili kuongeza msisimko na kuwapa fursa mashabiki wengi zaidi kuhudhuria, katikati ya wiki imeachwa wazi kwa ajili ya mechi za Kombe la FA (Federation Cup) ambapo mtendaji mkuu wa bodi ya ligi bwana Silas Mwakibinga amesema michuano hiyo itashirikisha timu za ligi kuu, timu za daraja la kwanza na mabingwa wa mikoa na itachezwa kwa mtindo wa mtoano.

Mara nyingi ratiba haizingatii umbali wa kijiografia. Mwa mfano, timu inapangiwa kucheza na Kagera Sugar mjini Bukoba, halafu inapangiwa kucheza na Coastal Union mjini Tanga na wiki inayofuatia wanapangiwa kucheza na Stand United mjini Shinyanga...wakati ingewezekana kucheza na Kagera halafu ikacheza na Stand United ili imalize mechi zote za kanda ya ziwa...lakini bwana Mwakibinga anasema mwaka huu ratiba imezingatia sana hilo lakini ni vigumu kuziridhisha timu zote.

Ratiba hiyo inaonesha ligi itaanza Septemba 20 kwa mechi Tisa kuchezwa ambapo mabingwa watetezi Azam FC wataanza na Polisi Morogoro kwenye uwanja wa Azam Complex huku Yanga wakianza na Mtibwa Sugar kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.
Simba wataingia dimbani Septemba 21 kuwavaa binamu zao Coastal Union katika uwanja wa taifa jijini DSM.

Chanzo: EATV
 
Imejaa magumashi mno ndo maana inaonekana haipendwi.

Ilitakiwa iendeshwe kisayansi kama ilivyo EPL kwa kiwango na mazingira yetu na kukuza uzalendo hapo sawa Ligi itapendwa mpaka basi kama ilivyo miaka ya nyuma!
 
Duh kweli hii ligi haipendwi
Haipendwi na wapuuzi fulani wanaodhani kuwa Soka letu litaendelea kwa kuendelea kushabikia vilabu na Timu za Taifa za Ulaya.

Kwa bahati mbaya kundi hii la wapuuzi linaongezeka kila kukicha bila kujua kuwa wanafanywa kuwa wateja wa kudumu na makampni ya Ulaya ambao ndio wanufaika wakubwa wa huu mzunguko wa uchumi.

Aibu kubwa.
 
Warudishe utaratibu kama wa zamani, kila mechi watangaze live covered (redioni) kama ilivyo miaka ya nyuma, hii hatua itawafanya watu wapate mwamko wa kuipenda ligi...EPL wamejitahidi hapo kwa maana kila ligi mpira unaoneshwa!
 
Mechi huwa zinatangazwa TBC Taifa na Kiss FM mkuu, lakini kutokana na kukua kwa habari watu wanategemea zaidi TV. Redio inasaidia watu ambao wako njiani au katika usafiri. EPL wameanza kampeni yao tangu zamani kutafuta masoko mapya, sisi idadi yetu ya watu inatosha kukidhi soko la ndani na tukifanya ligi bora katika ukanda huu, tunaweza kushawishi hata nchi zingine zitushabikie.

Kitu kizuri ni kuwa hatujachelewa, bado kuna mwamko huku kwetu ukilinganisha na nchi kama Kenya ambako morali na ligi ya ndani imekufa kabisa.
 
TBC Taifa redio zao zinatangazwa kwenye uwanja wa taifa pekee hata viwanja vingine hawatangazi jamani
 
je ni kweli stand united ya shinyanga imeondolewa ligi kuu na badala yake mwadui imechukua nafasi yake baada kushinda rufaa yake?
Ratiba%20ya%20liig.JPG

Ratiba ya Ligi Kuu Soka Tanzania Bara msimu wa 2014-15, imetoka mchana wa leo. Ratiba hiyo imezingatia michuano ya Chalenji itakayochezwa Novemba, usajili wa dirisha dogo Nov 15- Des 15, ushiriki wa klabu za Azam na Yanga kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa (CL) na Kombe la Shirikisho (CC).

Mechi zitachezwa wikiendi ili kuongeza msisimko na kuwapa fursa mashabiki wengi zaidi kuhudhuria, katikati ya wiki imeachwa wazi kwa ajili ya mechi za Kombe la FA (Federation Cup) ambapo mtendaji mkuu wa bodi ya ligi bwana Silas Mwakibinga amesema michuano hiyo itashirikisha timu za ligi kuu, timu za daraja la kwanza na mabingwa wa mikoa na itachezwa kwa mtindo wa mtoano.

Mara nyingi ratiba haizingatii umbali wa kijiografia. Mwa mfano, timu inapangiwa kucheza na Kagera Sugar mjini Bukoba, halafu inapangiwa kucheza na Coastal Union mjini Tanga na wiki inayofuatia wanapangiwa kucheza na Stand United mjini Shinyanga...wakati ingewezekana kucheza na Kagera halafu ikacheza na Stand United ili imalize mechi zote za kanda ya ziwa...lakini bwana Mwakibinga anasema mwaka huu ratiba imezingatia sana hilo lakini ni vigumu kuziridhisha timu zote.

Ratiba hiyo inaonesha ligi itaanza Septemba 20 kwa mechi Tisa kuchezwa ambapo mabingwa watetezi Azam FC wataanza na Polisi Morogoro kwenye uwanja wa Azam Complex huku Yanga wakianza na Mtibwa Sugar kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.
Simba wataingia dimbani Septemba 21 kuwavaa binamu zao Coastal Union katika uwanja wa taifa jijini DSM.

Chanzo: EATV
 
je ni kweli stand united ya shinyanga imeondolewa ligi kuu na badala yake mwadui imechukua nafasi yake baada kushinda rufaa yake?
Zilitangazwa kama tetesi katika kipindi fulani cha michezo jana, sijathibitisha bado...
 
Ratiba nzima ya mzunguko wa kwanza

Tarehe Na. Mwenyeji Mgeni Uwanja

20.09.2014 1 Azam FC - Polisi Moro Azam
20.09.2014 2 Mtibwa Sugar - Young A SC Jamhuri
20.09.2014 3 Stand UTD - Ndanda FC Kambarage
20.09.2014 4 Mgambo JKT - Kagera Sugar Mkwakwani
20.09.2014 5 Ruvu Shootings - Prisons Mabatini
20.09.2014 6 Mbeya City - JKT Ruvu Sokoine
21.09.2014 7 Simba SC - Coastal U Mkapa

27.09.2014 8 Simba SC - Polisi Moro Mkapa
27.09.2014 9 Mtibwa Sugar - Ndanda FC Manungu
27.09.2014 10 Azam FC - Ruvu Shootings Azam
27.09.2014 11 Mbeya City - Coastal U Sokoine
27.09.2014 12 Mgambo JKT - Stand UTD Mkwakwani
28.09.2014 13 JKT Ruvu - Kagera Sugar Azam
28.09.2014 14 Young A SC - Prisons Mkapa

04.10.2014 15 Polisi Moro - Kagera Sugar Jamhuri
04.10.2014 16 Coastal U - Ndanda FC Mkwakwani
04.10.2014 17 Simba SC - Stand UTD Mkapa
04.10.2014 18 Prisons - Azam FC Sokoine
04.10.2014 19 Ruvu Shootings - Mbeya City Mabatini
05.10.2014 20 Young A SC - JKT Ruvu Mkapa
05.10.2014 21 Mtibwa Sugar - Mgambo JKT Manungu

11.10.2014 22 Polisi Moro - Mtibwa Sugar Jamhuri
11.10.2014 23 Ndanda FC - Ruvu Shootings Nangwanda
11.10.2014 24 Kagera Sugar - Stand UTD Kaitaba
11.10.2014 25 Coastal U - Mgambo JKT Mkwakwani
11.10.2014 26 Mbeya City - Azam FC Sokoine
12.10.2014 27 Young A SC - Simba SC Mkapa
12.10.2014 28 Prisons - JKT Ruvu Sokoine

18.10.2014 29 Stand UTD - Young A SC Kambarage
18.10.2014 30 Ndanda FC - Mgambo JKT Nangwanda
18.10.2014 31 Kagera Sugar - Coastal U Kaitaba
18.10.2014 32 Azam FC - JKT Ruvu Azam
18.10.2014 33 Prisons - Simba SC Sokoine
18.10.2014 34 Ruvu Shootings - Polisi Moro Mabatini
19.10.2014 35 Mbeya City - Mtibwa Sugar Sokoine

25.10.2014 36 Kagera Sugar - Young A SC Kaitaba
25.10.2014 37 Coastal U - Ruvu Shootings Mkwakwani
25.10.2014 38 JKT Ruvu - Polisi Moro Azam
25.10.2014 39 Ndanda FC - Azam FC Nangwanda
25.10.2014 40 Stand UTD - Prisons Kambarage
26.10.2014 41 Mtibwa Sugar - Simba SC Jamhuri
26.10.2014 42 Mgambo JKT - Mbeya City Mkwakwani

01.11.2014 43 Stand UTD - Mbeya City Kambarage
01.11.2014 44 Young A SC - Mgambo JKT Mkapa
01.11.2014 45 Mtibwa Sugar - Kagera Sugar Manungu
01.11.2014 46 Azam FC - Coastal U Azam
01.11.2014 47 Polisi Moro - Prisons Jamhuri
02.11.2014 48 Simba SC - Ruvu Shootings Mkapa
02.11.2014 49 JKT Ruvu - Ndanda FC Azam

08.11.2014 50 Simba SC - Kagera Sugar Mkapa
08.11.2014 51 Mtibwa Sugar - Stand UTD Manungu
08.11.2014 52 Prisons - Coastal U Sokoine
08.11.2014 53 JKT Ruvu - Ruvu Shootings Azam
09.11.2014 54 Mbeya City - Ndanda FC Sokoine
09.11.2014 55 Polisi Moro - Mgambo JKT Jamhuri
09.11.2014 56 Young A SC - Azam FC Mkapa

15.11.2014 57 Coastal U - JKT Ruvu Mkwakwani
15.11.2014 58 Ruvu Shootings - Kagera Sugar Mabatini
15.11.2014 59 Azam FC - Mtibwa Sugar Azam
15.11.2014 60 Polisi Moro - Stand UTD Jamhuri
15.11.2014 61 Mbeya City - Young A SC Sokoine
16.11.2014 62 Mgambo JKT - Simba SC Mkwakwani
16.11.2014 63 Prisons - Ndanda FC Sokoine

20.12.2014 64 Ndanda FC - Polisi Moro Nangwanda
20.12.2014 65 JKT Ruvu - Stand UTD Azam
20.12.2014 66 Coastal U - Young A SC Mkwakwani
20.12.2014 67 Kagera Sugar - Azam FC Kaitaba
20.12.2014 68 Simba SC - Mbeya City Mkapa
20.12.2014 69 Mtibwa Sugar - Prisons Manungu
21.12.2014 70 Mgambo JKT - Ruvu Shootings Mkwakwani

26.12.2014 71 Young A SC - Ruvu Shootings Mkapa
27.12.2014 72 Kagera Sugar - Mbeya City Kaitaba
27.12.2014 73 Ndanda FC - Simba SC Nangwanda
27.12.2014 74 Stand UTD - Azam FC Kambarage
27.12.2014 75 Mgambo JKT - Prisons Mkwakwani
28.12.2014 76 JKT Ruvu - Mtibwa Sugar Azam
28.12.2014 77 Coastal U - Polisi Moro Mkwakwani

01.01.2015 78 Azam FC - Simba SC Mkapa
03.01.2015 79 Kagera Sugar - Ndanda FC Kaitaba
03.01.2015 80 Stand UTD - Coastal U Kambarage
03.01.2015 81 Polisi Moro - Young A SC Jamhuri
03.01.2015 82 Mbeya City - Prisons Sokoine
03.01.2015 83 Ruvu Shootings - Mtibwa Sugar Mabatini
04.01.2015 84 JKT Ruvu - Mgambo JKT Azam

10.01.2015 85 Simba SC - JKT Ruvu Mkapa
10.01.2015 86 Coastal U - Mtibwa Sugar Mkwakwani
10.01.2015 87 Ruvu Shootings - Stand UTD Mabatini
11.01.2015 88 Mgambo JKT - Azam FC Mkwakwani
10.01.2015 89 Prisons - Kagera Sugar Sokoine
10.01.2015 90 Polisi Moro - Mbeya City Jamhuri
11.01.2015 91 Young A SC - Ndanda FC Mkapa

17.01.2015 92 Polisi Moro - Azam FC Jamhuri
17.01.2015 93 Ndanda FC - Stand UTD Nangwanda
17.01.2015 94 Kagera Sugar - Mgambo JKT Kaitaba
17.01.2015 95 Prisons - Ruvu Shootings Sokoine
17.01.2015 96 JKT Ruvu - Mbeya City Azam
17.01.2015 97 Coastal U - Simba SC Mkwakwani
18.01.2015 98 Young A SC - Mtibwa Sugar Mkapa

24.01.2015 99 Polisi Moro - Simba SC Jamhuri
24.01.2015 100 Ndanda FC - Mtibwa Sugar Nangwanda
24.01.2015 101 Ruvu Shootings - Azam FC Mabatini
24.01.2015 102 Coastal U - Mbeya City Mkwakwani
24.01.2015 103 Stand UTD - Mgambo JKT Kambarage
24.01.2015 104 Kagera Sugar - JKT Ruvu Kaitaba
24.01.2015 105 Prisons - Young A SC Sokoine

31.01.2015 106 Kagera Sugar - Polisi Moro Kaitaba
31.01.2015 107 Ndanda FC - Coastal U Nangwanda
31.01.2015 108 Stand UTD - Simba SC Kambarage
31.01.2015 109 Azam FC - Prisons Azam
31.01.2015 110 Mbeya City - Ruvu Shootings Sokoine
31.01.2015 111 Mgambo JKT - Mtibwa Sugar Mkwakwani
01.02.2015 112 JKT Ruvu - Young A SC Mkapa

07.02.2015 113 Azam FC - Mbeya City Azam
07.02.2015 114 Mtibwa Sugar - Polisi Moro Manungu
07.02.2015 115 Stand UTD - Kagera Sugar Kambarage
07.02.2015 116 Ruvu Shootings - Ndanda FC Mabatini
08.02.2015 117 Simba SC - Young A SC Mkapa
08.02.2015 118 Mgambo JKT - Coastal U Mkwakwani
08.02.2015 119 JKT Ruvu - Prisons Azam

TBA 120 Young A SC - Stand UTD Mkapa
14.02.2015 121 Polisi Moro - Ruvu Shootings Jamhuri
14.02.2015 122 Coastal U - Kagera Sugar Mkwakwani
TBA 123 JKT Ruvu - Azam FC Azam
15.02.2015 124 Mgambo JKT - Ndanda FC Mkwakwani
15.02.2015 125 Simba SC - Prisons Mkapa
15.02.2015 126 Mtibwa Sugar - Mbeya City Manungu

21.02.2015 127 Simba SC - Mtibwa Sugar Mkapa
21.02.2015 128 Mbeya City - Mgambo JKT Sokoine
21.02.2015 129 Ruvu Shootings - Coastal U Mabatini
22.02.2015 130 Young A SC - Kagera Sugar Mkapa
22.02.2015 131 Polisi Moro - JKT Ruvu Jamhuri
22.02.2015 132 Azam FC - Ndanda FC Azam
22.02.2015 133 Prisons - Stand UTD Sokoine

07.03.2015 134 Mbeya City - Stand UTD Sokoine
07.03.2015 135 Mgambo JKT - Young A SC Mkwakwani
07.03.2015 136 Kagera Sugar - Mtibwa Sugar Kaitaba
07.03.2015 137 Ndanda FC - JKT Ruvu Nangwanda
07.03.2015 138 Ruvu Shootings - Simba SC Mkapa
08.03.2015 139 Prisons - Polisi Moro Sokoine
08.03.2015 140 Coastal U - Azam FC Mkwakwani

TBA 141 Azam FC - Young A SC Mkapa
14.03.2015 142 Stand UTD - Mtibwa Sugar Kambarage
14.03.2015 143 Coastal U - Prisons Mkwakwani
14.03.2015 144 Ruvu Shootings - JKT Ruvu Mabatini
14.03.2015 145 Ndanda FC - Mbeya City Nangwanda
14.03.2015 146 Kagera Sugar - Simba SC Kaitaba
15.03.2015 147 Mgambo JKT - Polisi Moro Mkwakwani

21.03.2015 148 JKT Ruvu - Coastal U Azam
21.03.2015 149 Kagera Sugar - Ruvu Shootings Kaitaba
21.03.2015 150 Mtibwa Sugar - Azam FC Manungu
21.03.2015 151 Stand UTD - Polisi Moro Kambarage
21.03.2015 152 Young A SC - Mbeya City Mkapa
21.03.2015 153 Ndanda FC - Prisons Nangwanda
22.03.2015 154 Simba SC - Mgambo JKT Mkapa

28.03.2015 155 Polisi Moro - Ndanda FC Jamhuri
28.03.2015 156 Stand UTD - JKT Ruvu Kambarage
28.03.2015 157 Young A SC - Coastal U Mkapa
28.03.2015 158 Azam FC - Kagera Sugar Azam
28.03.2015 161 Ruvu Shootings - Mgambo JKT Mabatini
28.03.2015 159 Mbeya City - Simba SC Sokoine
29.03.2015 160 Prisons - Mtibwa Sugar Sokoine

04.04.2015 162 Mbeya City - Kagera Sugar Sokoine
04.04.2015 163 Simba SC - Ndanda FC Mkapa
TBA 164 Azam FC - Stand UTD Azam
05.04.2015 165 Polisi Moro - Coastal U Jamhuri
04.04.2015 166 Mtibwa Sugar - JKT Ruvu Manungu
TBA 167 Ruvu Shootings - Young A SC Mkapa
05.04.2015 168 Prisons - Mgambo JKT Sokoine

11.04.2015 169 Ndanda FC - Kagera Sugar Nangwanda
11.04.2015 170 Prisons - Mbeya City Sokoine
11.04.2015 171 Young A SC - Polisi Moro Mkapa
11.04.2015 172 Mgambo JKT - JKT Ruvu Mkwakwani
12.04.2015 173 Coastal U - Stand UTD Mkwakwani
12.04.2015 174 Simba SC - Azam FC Mkapa
12.04.2015 175 Mtibwa Sugar - Ruvu Shootings Manungu

18.04.2015 176 JKT Ruvu - Simba SC Mkapa
18.04.2015 177 Mtibwa Sugar - Coastal U Manungu
18.04.2015 178 Stand UTD - Ruvu Shootings Kambarage
18.04.2015 179 Mbeya City - Polisi Moro Sokoine
18.04.2015 180 Kagera Sugar - Prisons Kaitaba
TBA 181 Ndanda FC - Young A SC Nangwanda
TBA 182 Azam FC - Mgambo JKT Azam
 
Back
Top Bottom