Ratiba ya kujivua magamba

Ratiba ya kujivua magamba

mnazipata wapi hizi picha
jf ina wananchamaa wenye ujuzi kushinda hata wahariri wa magazeti ya habari leo na uhuru.
 
wasira%2Bkikombe..jpg

Ndo maana nchi hi ihaiendelei, eti hao nao wanaogopa kufa, mbona ni kama tayari ni maiti?
 
Makamba,
Mrisho,
mrema,
Mwakyembe,
Mamvi,
Maji marefu
Mkapa
Mwinyi na watoto wake,
Mary Nagu,
Mramba,
Mwanri,
lastly Magamba wote tutawafanyia party ya pamoja
 
Mbona SIOI mmemtenga kabisa? Jamaa yuko wapi mbona kimya sana....atakuwa anajuta kuziba sikio lake na ubunge umepta kushoto....
 
Jamani waziri Usingizi mumsamehe he has got obesty (unene uliopindukia kuzidi uwezo wa mwili) Kwahio akilala anoengeza blood supply to the brain ili asipate brain concurssion.
 
Back
Top Bottom