chitambikwa
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 3,941
- 903
Hii ndo ratiba ya kombe la dunia kwa masaa ya kibongo. Tarehe zimebaki za kibongo ili kusiwe na mchanganyiko na mtafaruku kwa wengi. Namaanisha mechi ya za sita usiku, saa saba au saa kumi zinasoma tarehe ya nyuma kama wengi wetu tulivyozoea.