Uzini ilikuwa na Strategy ya chama kuipaisha PROFILE yake maana kuna wana CUF bungeni wakati wa mjadala wa katiba (LISSU alipowaambia ukweli) walitishia kumuomba msajili wa vyama afanye Audit kama CDM ina wanachama visiwani. CDM imeamua kutoa jibu la uhakika kwa kuigalagaza hiyo CUF iliyoleta uzushi na kufuta kabisa zile siasa zenu za udini. Mapigo kamili AM ambapo kijana Nassary ameishakaa mkao wa kuchukua jimbo.