Rates za malipo kwa watendaji kazi uchaguzi wa serikali za mitaa ni zipi?!

displayname

JF-Expert Member
Feb 15, 2013
1,950
1,039
Naombeni kufahamu tu juu ya swala zima la mchakato mzima unaoendelea wa uandikishaji na uchuguzi wa serikali za mitaa.

Pamoja ua ukimya wake ila pia hata posho au malipo yao waandikishaji wapiga kura na wasaidizi wa usimamizi wa uchaguzi bado ni siri au je hulipwa kiasi gani?!

Pana vijana wangu wananisumbua sana kwa maswali wakitaja kufahamu...wanadai hadi sasa hawajalipwa wala kutangaziwa.

Mwenye kufahamu huzi rates au chochote tafadhari.
 
Back
Top Bottom