rate ya makato mashirika binafsi

Hyasinter

Member
Jun 26, 2012
7
1
habari wanajamvi.nimepata kazi kampuni moja la kibinafsi ,na gross yangu ni sh 800,000(before tax).je baada ya kukata nssf na makato mengine ntapata ngapi hapo wadau.naomba mnijuze
 
Inategemeana na social security scheme (PPF, NSSF etc) utachangia kiasi gani kulingana na sera za shirika mengine ni 10% na mengine hiyo unalipiwa na mwajiri. Kujua PAYE utakatwa kiasi gani nenda kwenye website ya TRA. Utaona PAYE calculator weka gross salary hiyo utajua utakatwa kiasi gani. Ukitoa hiyo na ya social security scheme utajua kwa mwezi utabaki na shilling ngapi ?
 
Hyasinter kwanza naomba nikurekebishe....net salary ndiyo before makato,gross salary ni baada ya makato.na niungane na hoja ya MaTT

Duh, mkuu mbn unatudanganya mchana kweupe? Tukizungumzia gross salary ni mshahara ulioandikwa kwenye mkataba na ni ambao haujafanyiwa makato yoyote. Baada ya kodi pamoja na bima ndio unabaki na net salary au wengine wanasema take home. So net salary ni baada ya makato na gross ni before makato, upo?
 
samahani,,,nimekosea....mods plz futeni comment yangu......na mimi nililishwa tango pori.nimegoogle nikahakikisha,asante Mtumishi Mkuu
Duh, mkuu mbn unatudanganya mchana kweupe? Tukizungumzia gross salary ni mshahara ulioandikwa kwenye mkataba na ni ambao haujafanyiwa makato yoyote. Baada ya kodi pamoja na bima ndio unabaki na net salary au wengine wanasema take home. So net salary ni baada ya makato na gross ni before makato, upo?
 
chukuwa huii:
gross salary yako 800,000/=
NSSF 10%=80,000/=
PAY 14% KODI=112,000/=

TAKE HOME YAKO =608,000/=
 
chukuwa hii:
gross salary yako 800,000/=
NSSF 10%=80,000/=
PAY 14% KODI=112,000/=

TAKE HOME YAKO =608,000/=
 
Back
Top Bottom