mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 22,312
- 55,973
Vijana wengi hawaoi wala kuolewa sababu ya maisha magumu,tutegemee hali hii kuendelea kwa miaka mingine mitano, kama binti una miaka 30 hujaolewa ndio basi,pia kukataa mimba kutaongezeka sana ,hakuna hasiyependa mtoto ila maisha magumu yanatupelekea hivyo, mtusamehe wadada sio sisi ni maisha