Acheni kumdisapointi mwenzenu, huyu alikuja mwanzo humu akidai yeye ni mpenzi wa video games, nadhani leo ameanza kuirate hii game yake. Binafsi sio mpenzi wa haya makitu, wanaopenda waanze kufunguka.