Ukwel ni upi, kwamba kampuni ya usafirishaji abiri na mizigo ya ratco tanga na tanga beach resort ni mali ya riziwani au baba yake? Ni kwel barabara ya kutoka duga mwemben hadi tanga beach imetengenezwa maalum kwa ajl ya kupeleka wageni tanga beach?
Nlisikiaga kuhusu Tanga beach kua ni yake,na Ratco inaweza kua yake...lisemwalo lipo...mh wana vitu vya ukwee wenyewe akat watanzania wengne hawana uhakika wa chakula cha mchana
Hata kwenye kupata TLB Rizi alisimama sana..hata hivyo kuna bwana mmoja Mohamed Kifaranga ndio top pale..kwa upande wa huduma Ratco wako poa..full kipupwe mwanzo mwisho.
Ukwel ni upi, kwamba kampuni ya usafirishaji abiri na mizigo ya ratco tanga na tanga beach resort ni mali ya riziwani au baba yake? Ni kwel barabara ya kutoka duga mwemben hadi tanga beach imetengenezwa maalum kwa ajl ya kupeleka wageni tanga beach?
Sina shida ya kujua Beach Resort ni ya nani shida yangu iko kwenye management ya hotel na wafanyakazi wale mburula wasijua jini maana ya custom care na hotel management
Kwa wale wanaoijua ile hotel counter iko mbali na beach ni kama mita mia hv, lakini ukiagiza kinywaji kinafunguliwa huko huko counter na kinaletwa wazimu bila hata kufunikwa chochote... ukihoji unaonekana mkorofi au mshamba...wahudumu wana lugha za nyodo na majibu ya kicenge mno...wanafikiri kufanya kazi pale basi they r on top of the world...I hate the place
With Ratco huduma ni nzuri kwakweli big up to them
Kwanni munapenda kujua umiliki wa mali za watu huo sio ujinga fanya kazi kwa bidii na wewe upate zako ndio zitakasaida sio kujua umiiliki utakusaidia nni.? Kila biashara inyopendeza ni ya rz ivi hakuna wa tz wenye uwezo wa kumiliki vizuri zaidi ya rz? Mwisho mutatuambia wale chabgu wanaojiuza pale shekilango rd na kimboka buguruni ni wa rz . Acheni unjinga mungu hayupo kwa ajili ya rz pekee fanya kazi mtt.
Elf 18 Ila kiukweli jamaa wanajitahidi kwa Huduma na hasa kwenye issue ya muda wanajali sana! Hayo mengine cjui mmiliki nani watajua wenyewe Manake NCH hii ili uwe na AMANI japo kdg! achakufuatilia maisha ya wakubwa manake Utakuta wee huna ht HELA ya PANADOL viongozi wanaoishi kwa KODI yako wanaHONGA madem MELI,,,!