Ni kweli zinakera wenye magari ila zinaokoa maisha ya wasio na magari.
Madereva wengi Tanzania hawana akili sawasawa, sehemu za makazi ya watu, shule na mkusanyiko wa watu mtu bado anatembea 100+. Maeneo yote uliyoyataja yana makazi ya watu.
Ni lazima wakati mwingine kulimda watumiaji wengine wa barabara kwa kutumia njia ngumu kama hizo rasta.