Rasmi wire tun kutotumika kama kinunurishi data

Aiii ndioo maana. Nimehanya Sana Jana.

Afu wanatuma update lakini hola.
 
Wale wakongwe wa ganda la ndizi rasmi jana wire tun waipiga pin kutoruhusu hata sumni ya data kutumika kaika internet haya tununue bando tukuze kipato cha nchi yetu.
Kwa maana tigo nao wamechomoa betri?
 
Wale wakongwe wa ganda la ndizi rasmi jana wire tun waipiga pin kutoruhusu hata sumni ya data kutumika kaika internet haya tununue bando tukuze kipato cha nchi yetu.
Bando bei ghari hivyo. Hapana
Hakuna kinachoshindikana chini ya jua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…