Rasmi sasa Tabora United imekuwa TRA United SC

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Klabu ya Ligi Kuu ya TABORA UNITED imeuzwa rasmi kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na itajulikana kama TRA UNITED SPORTS CLUB.

Timu itakuwa bado chini ya Manager wa TRA Mkoa wa Tabora mpaka mwezi Januari 2026 ambapo itahamia Dar es Salaam. Mameneja na wamutimishi wa TRA mikoa ambayo timu itacheza Ligi Kuu wamehamasishwa kuiunga mkono timu kwa kuipa hamasa. Timu hii ni mahususi kuhamasisha ulipaji wa kodi kwa hiari.

RASMI SASA TABORA UNITED NI TRA UNITED SC Klabu ya Ligi Kuu ya TABORA UNITED imeuzwa rasmi kwa...jpg

1758288768030.png
Soma
 
Yaani TRA kwa makudi kabisa mnaamua kuzichezea kodi zetu! Nyinyi wenyewe mnazichezea na kuzitafuna kila siku! Wanansiasa nao wanazitafuna vile wapendavyo kwa kununua magari yao ya kifahari, nk! Na sasa mnazipeleka na kwa wachezaji nao waazitafune!

Yaani sisi wafanyabiashara tunahangaika kutafuta juani, halafu nyinyi wenzetu mliopo kivulini mnatumbua tu kodi zetu! Hivi kulikuwa kuna umuhimu kweli wa kuingia kwenye hii biashara!!
 
Nashauri neno united walitoe libakie TRA Sports club au ni TRA football club (kama watabase kwenye mpira tu)
 
Aaaah kumbe ndo mana mwezi august wasenge walikuwa serious kinyama na tie zao shingoni, ile faini ya 4 million dah qmmke
 
Klabu ya Ligi Kuu ya TABORA UNITED imeuzwa rasmi kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na itajulikana kama TRA UNITED SPORTS CLUB.

Timu itakuwa bado chini ya Manager wa TRA Mkoa wa Tabora mpaka mwezi Januari 2026 ambapo itahamia Dar es Salaam. Mameneja na wamutimishi wa TRA mikoa ambayo timu itacheza Ligi Kuu wamehamasishwa kuiunga mkono timu kwa kuipa hamasa. Timu hii ni mahususi kuhamasisha ulipaji wa kodi kwa hiari.

Soma

Ikishuka daraja itakuwaje?
 
Kwani jamaa atarudi kuwa waziri mwenye dhamana ya TRA? sio kwa ubaya naona kuna namna ya kumfurahisha!....ikiwa lemgo ni kuinua tu soka...ni jambo la kheri!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom