Kuna msukule kule Mbezi Beach unaweza kukusaidia kuondoa mapenzi ya sokaNilikuwa mshabiki wa Yanga, Ingawa kipigo cha jana ni moja ya sababu lakini siku nyingi nimechoshwa na soka letu ambalo lina siasa siasa ndani yake..... Kwaheri yanga, Kwaheri Taifa stars.... Rasmi Kesho nitachoma moto jezi za stars.... za Yanga Sina. Pumbavu sana....View attachment 1505662
.Nilikuwa mshabiki wa Yanga, Ingawa kipigo cha jana ni moja ya sababu lakini siku nyingi nimechoshwa na soka letu ambalo lina siasa siasa ndani yake..... Kwaheri yanga, Kwaheri Taifa stars.... Rasmi Kesho nitachoma moto jezi za stars.... za Yanga Sina. Pumbavu sana....View attachment 1505662
Usije acha shabikia yanga ukaenda Shabikia Arsenal nakuapia utakufa utakufaaNilikuwa mshabiki wa Yanga, Ingawa kipigo cha jana ni moja ya sababu lakini siku nyingi nimechoshwa na soka letu ambalo lina siasa siasa ndani yake..... Kwaheri yanga, Kwaheri Taifa stars.... Rasmi Kesho nitachoma moto jezi za stars.... za Yanga Sina. Pumbavu sana....View attachment 1505662
YNWAHuko niko na Liverpool.
Kwanini huku usiwe na SIMBA SC?Huko niko na Liverpool.
Pole mkuu.
Soka ndio lilivyo, kuna wakati utafurahi na wakati mwingine utaumia kwa maumivu ya moyo. (Mfano March 8 ulifurahi na jana imekuwa zamu ya wengine).
Jambo lingine ni kwamba Jezi za Taifa stars hazihusiani na kichapo cha jana. Endelea tu kuipenda Yanga na maisha yanaendelea.