Rasmi naachana na ushabiki wa soka Tanzania

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,278
6,635
Nilikuwa mshabiki wa Yanga, Ingawa kipigo cha jana ni moja ya sababu lakini siku nyingi nimechoshwa na soka letu ambalo lina siasa siasa ndani yake..... Kwaheri yanga, Kwaheri Taifa stars.... Rasmi Kesho nitachoma moto jezi za stars.... za Yanga Sina. Pumbavu sana....
FB_IMG_1594650625442.jpeg
 
Nilikuwa mshabiki wa Yanga, Ingawa kipigo cha jana ni moja ya sababu lakini siku nyingi nimechoshwa na soka letu ambalo lina siasa siasa ndani yake..... Kwaheri yanga, Kwaheri Taifa stars.... Rasmi Kesho nitachoma moto jezi za stars.... za Yanga Sina. Pumbavu sana....View attachment 1505662
Kuna msukule kule Mbezi Beach unaweza kukusaidia kuondoa mapenzi ya soka
 
Nilikuwa mshabiki wa Yanga, Ingawa kipigo cha jana ni moja ya sababu lakini siku nyingi nimechoshwa na soka letu ambalo lina siasa siasa ndani yake..... Kwaheri yanga, Kwaheri Taifa stars.... Rasmi Kesho nitachoma moto jezi za stars.... za Yanga Sina. Pumbavu sana....View attachment 1505662
Usije acha shabikia yanga ukaenda Shabikia Arsenal nakuapia utakufa utakufaa
 
Pole mkuu.
Soka ndio lilivyo, kuna wakati utafurahi na wakati mwingine utaumia kwa maumivu ya moyo. (Mfano March 8 ulifurahi na jana imekuwa zamu ya wengine).
Jambo lingine ni kwamba Jezi za Taifa stars hazihusiani na kichapo cha jana. Endelea tu kuipenda Yanga na maisha yanaendelea.
 
Sawa mkuu.........lkn endelea kushabikia arsenal ya vingunguti
 
Taifa Stars imeongoza Kuniletea maumivu.
Pole mkuu.
Soka ndio lilivyo, kuna wakati utafurahi na wakati mwingine utaumia kwa maumivu ya moyo. (Mfano March 8 ulifurahi na jana imekuwa zamu ya wengine).
Jambo lingine ni kwamba Jezi za Taifa stars hazihusiani na kichapo cha jana. Endelea tu kuipenda Yanga na maisha yanaendelea.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom