Kama Rais anatangaza mafuta yatapanda Bei ikiwa hata vita Iran haina 10days vipi ikifika 30days?
Uzuri mambo kama haya yanaenda kuwaunganisha pamoja watanzania.
Nauli daladala kituo had kituo inaenda kuwa 1,000/= mpaka 1,200/=
Nauli mwanza - dar kawaida 100,000/=
Nauli Dar - Arusha 60,000/=
Sukari 1kg 4,500/=
Mchele 1kg 4,000/=
Bado naona Hali ya jua Kali na ukame Kuanzia April - June Sasa mikoa yenye imeanza paliz ya kwanza waombe sana.
Ila mpaka Christmas watanzania wote watakuwa wameisoma namba na watakuwa wanaongea lugha Moja