Rasmi: Ligi Kuu Tanzania Bara kuendelea Juni 13

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,559
Reaction score
3,953
Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi, Almas Kasongo amesema Ligi Kuu Tanzania Bara itaendelea kuanzia Juni 13, 2020 baada ya kusimama kwa zaidi ya miezi 2

Amesema ratiba ya kuendela na Ligi hiyo iliyosimama kutokana na janga la COVID19, itatolewa wiki hii Jumapili, Mei 31, 2020
 
Sawa,
Wale wa Kubet tukae tayari.
 
Back
Top Bottom