Kwanini developers wengi Tanzania wanapenda kutumia PHP? Habari wana JF! Ukiangalia websites nyingi hasa za hapa kwetu utaona zimetengezwa kwa kutumia php kwenye server side! Je kwanini developers wengi Tanzania wanapendelea kutumia PHP wakati kuna languages nyingine nyingi tu ambazo wangeweza...