Rasmi CHADEMA ndio chama chenye msimamo sana

sasa unapoandika hivyo wakati keshakubali msamaha unakuwa na maana gani waliomshitaki wameamua kumuachia sasa kama anaoona anahaki kwanini askatae na aseme kesi iendelee hadi mwisho? mnafanya mchezo na kukaa jela nie kanyooka mbowe
 
Mbowe kaandika barua ya kuomba kuachiwa?
 
Hangaya atawaambia nini BBC jamani[emoji3][emoji3],
Tulishasema hii kesi ya Mchongo kwa kila kitu,Gaidi gani anatumiwa salamu za rambirambi na raisi wa nchi wiki moja kabla ya kukamatwa.
 
Huu ni ushindi kwa watanzania.
 
Why kila siku walikuwa wanatuma watu Kwa mama?

Yan vijana wa chadema mnadanganywa kama watoto wa kupewa pipi

Viongozi wenu kila siku wanaomba Mwenyekiti achiwe Leo kaachiwa mnaanza kujifanya nyie ni nyie

Waombe msamaha wapi, siku zote msimamo wa cdm ilikuwa ni Mbowe aachiwe bila masharti yoyote maana sio gaidi, bali yuko ndani kwa siasa za kishenzi za ccm. Tena tulisema kabisa kumuachia Mbowe sio ombi bali ni lazima. Hao walioomba wako kimpango wao.
 
Wao wameomba Kwa kutumwa na mwenyewe mbowe,

Coz mbowe alijua watu wengi wanaakili kama zako wakati yy anateseka miezi Tisa now

And thanks God the man is out
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…