Hilo lipo wazi na ndiyo maana watawala wanaichukia sana cdm.Ukweli mchungu lakini ni lazima tuukubali tu. Kulikua Kuna mashinikizo ya kila namna kutoka kila upande yakitaka Mbowe na chadema waombe msamaha.
Ilifikia hadi humu kukawa na nyuzi nyingi za kutupiana maneno kuhusu kuomba msamaha. Ila chadema wote pamoja na mbowe walisema HATUTAOMBA MSAMAHA.
Hii ina maana kubwa sana, kwa kuwa pengine walitaja kujikweza ili waombwe msamaha na ionekane chadema pamoja na mbowe ni dhaifu Sana.
Na iwe fundisho kwa mamlaka kuwa, watu wapo tatari kuumia Ila hawataweza kupiga magoti kuipata haki yao.
Chadema imeshinda, MBOWE ameshinda. Huu ukweli ni mchungu Ila tuukubali.
Hawajawahi kushindwa.EU Mhimili wa Dunia....
Kiboko ya machawa wa ccmMbowe ni mwamba [emoji91]
Mungu ibariki cdmHichi ndio chama halisi cha upinzani achana na zile takataka nyingine za wachumia tumbo vibaraka.
#MaendeleoHayanaChama
Ukweli mchungu lakini ni lazima tuukubali tu. Kulikua Kuna mashinikizo ya kila namna kutoka kila upande yakitaka Mbowe na chadema waombe msamaha.
Ilifikia hadi humu kukawa na nyuzi nyingi za kutupiana maneno kuhusu kuomba msamaha. Ila chadema wote pamoja na mbowe walisema HATUTAOMBA MSAMAHA.
Hii ina maana kubwa sana, kwa kuwa pengine walitaja kujikweza ili waombwe msamaha na ionekane chadema pamoja na mbowe ni dhaifu Sana.
Na iwe fundisho kwa mamlaka kuwa, watu wapo tatari kuumia Ila hawataweza kupiga magoti kuipata haki yao.
Chadema imeshinda, MBOWE ameshinda. Huu ukweli ni mchungu Ila tuukubali.
Umejuaje hawajaomba msamaha?Ukweli mchungu lakini ni lazima tuukubali tu. Kulikua Kuna mashinikizo ya kila namna kutoka kila upande yakitaka Mbowe na chadema waombe msamaha.
Ilifikia hadi humu kukawa na nyuzi nyingi za kutupiana maneno kuhusu kuomba msamaha. Ila chadema wote pamoja na mbowe walisema HATUTAOMBA MSAMAHA.
Hii ina maana kubwa sana, kwa kuwa pengine walitaja kujikweza ili waombwe msamaha na ionekane chadema pamoja na mbowe ni dhaifu Sana.
Na iwe fundisho kwa mamlaka kuwa, watu wapo tatari kuumia Ila hawataweza kupiga magoti kuipata haki yao.
Chadema imeshinda, MBOWE ameshinda. Huu ukweli ni mchungu Ila tuukubali.
Ogopa sana tajiri anaye hakikisha unaishi kwa kula nini na kuvaa nini.Huu ndiyo ukweli Hangaa na wenzke ni biggest loser
Bado tuna muhitaji sana kwa maendeleo ya cdm.Mwamba FAM tuvushe bado tuna imani na ww
Leo ataipiga hatari sana,lakini yote kwa yote mbowe sio gaidi,lakini kumbe hawa ccm wanaweza kukufunga tu kwa chuki zao binafisi mungu ni mwema.Mwacheni mwenyekiti akapige ata goli moja nyumbani, amekua mjela jela muda mrefu
Tazama vibe kama vibe ndani ya mahakama.Ukweli mchungu lakini ni lazima tuukubali tu. Kulikua Kuna mashinikizo ya kila namna kutoka kila upande yakitaka Mbowe na chadema waombe msamaha.
Ilifikia hadi humu kukawa na nyuzi nyingi za kutupiana maneno kuhusu kuomba msamaha. Ila chadema wote pamoja na mbowe walisema HATUTAOMBA MSAMAHA.
Hii ina maana kubwa sana, kwa kuwa pengine walitaja kujikweza ili waombwe msamaha na ionekane chadema pamoja na mbowe ni dhaifu Sana.
Na iwe fundisho kwa mamlaka kuwa, watu wapo tatari kuumia Ila hawataweza kupiga magoti kuipata haki yao.
Chadema imeshinda, MBOWE ameshinda. Huu ukweli ni mchungu Ila tuukubali.
Bila kuwasahau na EUMUNGU ndiyo ameshinda tumshukuru kwa kazi yake