Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Bado miaka 20Hiki Chama ama kweli kimenivutia.
Hiki chama kweli kimeshakuwa na sasa kinaonesha ni chama kinastahili kuwaongoza Watanzania.
Walianza kwa kuwaonyesha Watanzania namna gani Uchaguzi huru na haki unapaswa kuwa kupitia uchaguzi wao wa Viongozi. Sasa Watanzania wote tunajua namna uchaguzi huru na haki unapaswa kuendeshwa.
Sasa wanawaonesha Watanzania namna gani siasa za nchi zinapaswa kuendeshwa.
Tangu Lissu amechaguliwa kushika uongozi wa Chama hatuoni tena siasa za kijinga. Tunaona siasa zilizoenda shule, siasa zinazoendana na Wakati.
Nimevutiwa sana na organizesheni na hotuba ya Mwenyekiti Lissu leo. Lissu ametoa hotuba murua ambayo kila mtanzania amemwelewa. Amechambua vizuri wanamaanisha nini wanaposemq bila reforms hakuna uchaguzi na kusema kweli ameelezea vizuri na kueleweka vizuri sana namna mfumo wetu wa uchaguzi na katiba unavyotumiwa vibaya na chama cha mapinduzi.
Nimwevutiwa sana pia na namna walivyoanzisha mjadala kwa kuwaita wataalam kuchambua hotuba ya Mwenyekiti wao. Mjadala umehusisha wabobezi kweli ambao wanachambua vizuri kweli na kueleweka vizuri.
kusema. Kweli hivi ndo namna Chama cha Siasa Makini knapaswa kufanya siasa zake. Hivi ndo namna Chama kinachopaswa kushika dola kinapaswa kujiendesha.
Hongereni sana Chadema. Sasa mmekuwa na kupevuka na kustahili kupewa nchi na dola.
Naiona Tanzania njema na nzuri sana chini ya Chadema.
Mungu akazidi kuwabariki
Lord Denning
Dubai
Kuna watanzania na mtanzania ......hivyo wewe kama mtanzania unaweza ongozwa na chadema...sisi kama watanzania hatuwezi ongozwa na chadema sio uchaguzi wa mwenyekiti huu!Hiki Chama ama kweli kimenivutia.
Hiki chama kweli kimeshakuwa na sasa kinaonesha ni chama kinastahili kuwaongoza Watanzania.
Walianza kwa kuwaonyesha Watanzania namna gani Uchaguzi huru na haki unapaswa kuwa kupitia uchaguzi wao wa Viongozi. Sasa Watanzania wote tunajua namna uchaguzi huru na haki unapaswa kuendeshwa.
Sasa wanawaonesha Watanzania namna gani siasa za nchi zinapaswa kuendeshwa.
Tangu Lissu amechaguliwa kushika uongozi wa Chama hatuoni tena siasa za kijinga. Tunaona siasa zilizoenda shule, siasa zinazoendana na Wakati.
Nimevutiwa sana na organizesheni na hotuba ya Mwenyekiti Lissu leo. Lissu ametoa hotuba murua ambayo kila mtanzania amemwelewa. Amechambua vizuri wanamaanisha nini wanaposema bila reforms hakuna uchaguzi na kusema kweli ameelezea vizuri na kueleweka vizuri sana namna mfumo wetu wa uchaguzi na katiba unavyotumiwa vibaya na chama cha mapinduzi.
Nimwevutiwa sana pia na namna walivyoanzisha mjadala kwa kuwaita wataalam kuchambua hotuba ya Mwenyekiti wao. Mjadala umehusisha wabobezi kweli ambao wanachambua vizuri kweli na kueleweka vizuri.
kusema. Kweli hivi ndo namna Chama cha Siasa Makini knapaswa kufanya siasa zake. Hivi ndo namna Chama kinachopaswa kushika dola kinapaswa kujiendesha.
Hongereni sana Chadema. Sasa mmekuwa na kupevuka na kustahili kupewa nchi na dola.
Naiona Tanzania njema na nzuri sana chini ya Chadema.
Kwa namna hii hotuba ya Mwenyekiti ilivyokuwa well organised leo alafu ukilinganisha na CCM wanavyolundika wasanii wasio la akili na machawa kwenye mikutano yao ndupo una amini tunaongozwa na wajinga Tanzania(CCM)
Mungu akazidi kuwabariki
Lord Denning
Dubai
CCM imeshaishiwa. Hakuna chama pale zaidi ya kikundi cha wahuni kinachokula kodi za Watanzania kwa kutumia ubabeTulisema hapa ccm ibadili aina ya siasa zake maana combination ya lissu na heche inakwenda kuacha elimu kubwa ya uraia kwa wananchi wote.
Hata mimi nimeridhikakusema. Kweli hivi ndo namna Chama cha Siasa Makini knapaswa kufanya siasa zake. Hivi ndo namna Chama kinachopaswa kushika dola kinapaswa kujiendesha.
Jogoo awike ama asiwike kutakucha tu!!!Bado miaka 20
Unaweza kuwa sawa au usiwe sawa. Hiki chama kimepevuka mno hivi sasa. Tusipokiweka madarakani kukamata dola sio tu hatukitendei haki. Hatujitendei haki hadi sisi kama Watanzania.Bado miaka 20
SahihiJogoo awike ama asiwike kutakucha tu!!!
Sawia
Hutuba ndio utekelezaji? Angie kwenye ground aonekane ubora wakeHiki Chama ama kweli kimenivutia.
Hiki chama kweli kimeshakuwa na sasa kinaonesha ni chama kinastahili kuwaongoza Watanzania.
Walianza kwa kuwaonyesha Watanzania namna gani Uchaguzi huru na haki unapaswa kuwa kupitia uchaguzi wao wa Viongozi. Sasa Watanzania wote tunajua namna uchaguzi huru na haki unapaswa kuendeshwa.
Sasa wanawaonesha Watanzania namna gani siasa za nchi zinapaswa kuendeshwa.
Tangu Lissu amechaguliwa kushika uongozi wa Chama hatuoni tena siasa za kijinga. Tunaona siasa zilizoenda shule, siasa zinazoendana na Wakati.
Nimevutiwa sana na organizesheni na hotuba ya Mwenyekiti Lissu leo. Lissu ametoa hotuba murua ambayo kila mtanzania amemwelewa. Amechambua vizuri wanamaanisha nini wanaposema bila reforms hakuna uchaguzi na kusema kweli ameelezea vizuri na kueleweka vizuri sana namna mfumo wetu wa uchaguzi na katiba unavyotumiwa vibaya na chama cha mapinduzi.
Nimwevutiwa sana pia na namna walivyoanzisha mjadala kwa kuwaita wataalam kuchambua hotuba ya Mwenyekiti wao. Mjadala umehusisha wabobezi kweli ambao wanachambua vizuri kweli na kueleweka vizuri.
kusema. Kweli hivi ndo namna Chama cha Siasa Makini knapaswa kufanya siasa zake. Hivi ndo namna Chama kinachopaswa kushika dola kinapaswa kujiendesha.
Hongereni sana Chadema. Sasa mmekuwa na kupevuka na kustahili kupewa nchi na dola.
Naiona Tanzania njema na nzuri sana chini ya Chadema.
Kwa namna hii hotuba ya Mwenyekiti ilivyokuwa well organised leo alafu ukilinganisha na CCM wanavyolundika wasanii wasio la akili na machawa kwenye mikutano yao ndipo una amini tunaongozwa na wajinga Tanzania(CCM)
Mungu akazidi kuwabariki
Lord Denning
Dubai
Lissu ni namba nyingine.Hiki Chama ama kweli kimenivutia.

Mkuu ni kweli wacha kwanza waludishe wabunge walio poteza na diwan hao pia watahitaji kujijenga kuwa imara ukomavu wa kifikra, maono na kupembua viongoz ambao wataweza kuwa mawaziri viongozi wa taasisi kubwa za ulinz na usalamaUnaweza kuwa sawa au usiwe sawa. Hiki chama kimepevuka mno hivi sasa. Tusipokiweka madarakani kukamata dola sio tu hatukitendei haki. Hatujitendei haki hadi sisi kama Watanzania.
Kunywa maji bro.Naona kama bpHutuba ndio utekelezaji? Angie kwenye ground aonekane ubora wake
Dunia inabadilika....Hiki Chama ama kweli kimenivutia.
Hiki chama kweli kimeshakuwa na sasa kinaonesha ni chama kinastahili kuwaongoza Watanzania.
Walianza kwa kuwaonyesha Watanzania namna gani Uchaguzi huru na haki unapaswa kuwa kupitia uchaguzi wao wa Viongozi. Sasa Watanzania wote tunajua namna uchaguzi huru na haki unapaswa kuendeshwa.
Sasa wanawaonesha Watanzania namna gani siasa za nchi zinapaswa kuendeshwa.
Tangu Lissu amechaguliwa kushika uongozi wa Chama hatuoni tena siasa za kijinga. Tunaona siasa zilizoenda shule, siasa zinazoendana na Wakati.
Nimevutiwa sana na organizesheni na hotuba ya Mwenyekiti Lissu leo. Lissu ametoa hotuba murua ambayo kila mtanzania amemwelewa. Amechambua vizuri wanamaanisha nini wanaposema bila reforms hakuna uchaguzi na kusema kweli ameelezea vizuri na kueleweka vizuri sana namna mfumo wetu wa uchaguzi na katiba unavyotumiwa vibaya na chama cha mapinduzi.
Nimwevutiwa sana pia na namna walivyoanzisha mjadala kwa kuwaita wataalam kuchambua hotuba ya Mwenyekiti wao. Mjadala umehusisha wabobezi kweli ambao wanachambua vizuri kweli na kueleweka vizuri.
kusema. Kweli hivi ndo namna Chama cha Siasa Makini knapaswa kufanya siasa zake. Hivi ndo namna Chama kinachopaswa kushika dola kinapaswa kujiendesha.
Hongereni sana Chadema. Sasa mmekuwa na kupevuka na kustahili kupewa nchi na dola.
Naiona Tanzania njema na nzuri sana chini ya Chadema.
Kwa namna hii hotuba ya Mwenyekiti ilivyokuwa well organised leo alafu ukilinganisha na CCM wanavyolundika wasanii wasio la akili na machawa kwenye mikutano yao ndipo una amini tunaongozwa na wajinga Tanzania(CCM)
Mungu akazidi kuwabariki
Lord Denning
Dubai
Ngoja kina Lusungo Ngongo Retired Malaria 2 waone hii post.... jiandae kutupiwa mawe.Hiki Chama ama kweli kimenivutia.