Rasmi: CCM yafutika Monduli nzima!

Rasmi: CCM yafutika Monduli nzima!

TeamLowassa

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2013
Posts
1,495
Reaction score
937
Wanabadiliko!

Inafahamika kuwa monduli kama wilaya ni moja ya 'stronghold' kubwa ya ccm. Leo ndio chaguzi/teuzi mbalimbali za kibunge na kidiwani za wana ccm zinafanyika nchini kote, ikiwemo Monduli kwa upana wake!

Ilizoeleka kuwa kipindi kama hiki shamrashamra za kisiasa ni nyingi sana maeneo hayo. Nyingi kama sio zote ni za ki ccm. Lakini leo hali imekuwa ni tofauti kabisa. Matumaini yote ya wana ccm yamegeuka na kuwa ya barafu. Yameganda. Shamrashamra hakuna!ile

Kumepoa sana! Ni kama vile watu wapo msibani! hakuna furaha! ccm yao imeuwawa na kitengo! sasa habari nzito nzito ni Lowassa na chadema tu! hakuna anaewaza kuhusu ccm kwa sasa!

Monduli nzima kwa sasa ni kama Arusha mjini. kitovu kuu za harakati za siasa za chadema. siku hiyo hiyo wakati Lowassa anahamia chadema, walipandisha bendera za chadema sehemu mbalimbali katika wilaya nzima ya Monduli.

Viva ukawa! Viva chadema! Viva Lowassa!

Zaidi ya wanachama mia tatu wa CCM kutoka jamii ya kifugaji katika kata ya Engaruka wilaya ya Monduli wamerudisha kadi za CCM na kujiunga na chadema huku wakidai maamuzi yao yametokana na utashi wao binafsi kwa kuzingatia hali halisi ya kisiasa ilivyo hivi sasa

ITV ilifika katika kijiji cha Engaruka na kushuhudia mamia ya wanachama waliyo kusanyika katika mkutano wa hadhara kukusanya kadi za CCM kuzichoma moto na kuchukua kadi za CHADEMA.

Kwa hali ya kisiasa ilivyo hapa Monduli ni wazi UKAWA wanatarajiwa kupata viti vyote vya udiwani,nafasi ya ubunge na mgombea Urais UKAWA Edward Lowassa anatarajiwa kupata ushindi wa 99% katika jimbo la Monduli.

11998812_624371797704439_2213751568349681379_n.jpg
11219004_624371794371106_3071799557566631621_n.jpg
11954798_624371791037773_4062953202822482515_n.jpg
 
Chinjeni ccm na kuchuna kuanzia mgongoni.hongereni watz wanaojua maumivu ya ccm.
 
kwa visual perception ya kilaza Lizaboni,hayo maandishi yalipaswa yasomeke "CHADEMA yafutika Monduli nzima!".:doh:
 
Last edited by a moderator:
Siyo arushatu hâta hapa nilipo mimi nzega aile 'ngebe zao ccm kiimiaaaa.habakuuu.ni lowasa Tuu na cdm.vs ukawa .octobre 2015
 
Monduli hakukuwahi kuwa na harakati zozote za maana za kisiasa!
 
Huijui monduli wewe!

Mondulı???Mnataka watu washndane kwa misingi kwamba mgombea anatoka upande wetu sio??Karıbia nusu ya Watanzani wanapatika LAKE ZONE.Shaurı yenu na mambo yenu na ubinafsı wenu.
 
Mimi sikuwa kuvote katika nchi hii tangu nilipofikisha umri wa kupiga kura
Kwa sababu ya kuwa nje ya nchi kikazi na kimasomo
Mwaka huu ni lazima mimi na familia yangu tupige kura na tuiondoe ccm madarakani
 
Lowasa kupata wazamini milioni moja na laki sita
Source :radio one
 
ccm ina hali mbaya sana
ivi JK anajiskiaje kua muuaji wa chama
 
Back
Top Bottom